Maonyesho ya Nane Nane Arusha yadoda

Maonyesho ya Nane Nane Arusha yadoda

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
753
Reaction score
1,812
Tittle:Maonyesho Nane Nane kanda ya kaskazini yadoda

Wadau wa Nane Nane kanda ya Kaskazini walalamikia hatua ya mkuu wa mkoa wa Arusha kuingilia na kutoa maelekezo ya kuwa umiza washiriki na wafanyabiashara wenyeji wanaofanyabiashara kwenye uwanja huo siku zote.

Moja ya shubiri waliyokutana nayo ni kuwataka wenye manyumba ya kupangisha kuondoka mara moja wakati waliuziwa viwanja hivyo na TASSO KANDA miaka 15 uliyopita,

makanisa na misikiti wapangaji nao wametakiwa kuondoka,Kubwa zaidi ni kuwataka maduka ambayo muda wote huwa yanafanya biashara siku zote hapo kutakiwa kulipa tshs 200,000 kwa siku 8 ,wafanyabiashara hao wamedai kuwa wao ni wapangaji na wanalipa kodi ya pango TASSO ,wana leseni ,wamelip TRA,leseni za vileo,servises levy,n.k kulipa shs 200000 kwa siku 8 tu nionevu wa mkuu wa mkoa na wivu wa kibiashara.Ajabu ni kuwa pesa hizo inalipwa kwa risiti ya kawaida kwenye ofisi ya,mkuu wa mkoa badala ya mfumo wa.kieletroniki unaotumika na TASSO magetini uliofungwa na NMB,hofu ya uwizi ni mkubwa kwani pesa zinalipwa kwa namna tofauti😛ia wenye mabanda ya voda ,tigo,Airtel nk na wenye viburudisho kunyimwa kupiga mziki hivyo kukosa mvuto uliozooleka.

Pia Halmashauri kuleta vitu vilivyozoeleka bila ubunifu wowote hii yote ni amri bila kuleta tecnologia inayoatakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali rahisi na majibu rahisi:Kama ni kweli mkuu wa mkoa Arusha anaweza kufukuza watu waliopo nanenane leo baada ya serikali hiyo hiyo ya ccm kunyanganya umiliki toka jiji miaka 15 iliyopita wakaipa TASSO ,je TASSO walikuwa matapeli au nao ni ESCROW?Kodi iliyolipwa TASSO miaka yote na uwekezaji wa majengo hayo nani atafudia?wenye maduka ambayo muda wote kuwepo 88 au haipo wanalipa kodi leo kwa siku 8 wanaambiwa walipe laki 200,000 ,kodi hii ni kwa mujibu wa sheria ipi ya kodi?Je?Mkuu wa mkoa anauwezo wa kisheria kuagiza tozo yoyote?Je mapato hayo yanaingia wapi?TRA wanayakatia kodi mapato hayo yanayolipwa kwa RC?Nani atakagua hesabu hizo baada ya 88?Wakati Rais anasisitiza kuondoa kero kwa watu wadogo!RC anataka walipe fedha tena bila sheria wala kanuni?Je ni maduka mangapi wanalipa na matumizi ya fedha hizo inatumikaje??Tunaomba Gambo aje hadharani kuweka mambo haya sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viwanja vya nane nane vilibadilishwa kuwa gulio badala ya eneo la maonesho ya kilimo!
 
Back
Top Bottom