The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Mkuu parachute halina budget mkuu, Ni uvivu tu wa kupractice
CCM wamelusha chopa kama hawana akili nzuri, ndo lishindwe jeshi.
Hawajataka tuu
Mkuu parachute halina budget mkuu, Ni uvivu tu wa kupractice
Karne hii ya Drones hayo ni maonyesho tu ya kufurahishana ni sawa sawa Bruce Lee akutane na Smith and Wesson;
Anyway back to the point kuleta maonyesho ambayo hamjajipanga au kuna uwezekano wa kukosea ni Uzwawa
Ukitizama unaweza kucheka lakini ni jambo la kufikiria sana. Yani Makomando wameshindwa kutua sehemu husika wote wametua nje ya uwanja.
Hii inaonyesha ishara gani kwao?
=============
Nchini Burundi, maonyesho ya kuruka kwa parachuti yaliharibika baada ya Makomando Maalum kutua kwenye vichaka na juu ya paa za nyumba nje ya uwanja uliopangwa.
Kati ya zaidi ya makomando 25, ni mmoja tu aliyefanikiwa kutua ndani ya uwanja.
=================
In Burundi, a parachute display went wrong after Special Commandos landed in bushes and on rooftops outside the designated stadium.
Out of more than 25 commandos, only one successfully landed inside the stadium.
View attachment 3493034