Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani.

Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe.

Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza?

Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?

190815684_852818621992093_6647922978423566612_n.jpg
 

Attachments

  • VID-20200816-WA0001.mp4
    4.5 MB
Nilistaajabu kuona Profesa katengeneza jiko la kutumia mwanga wa jua kupikia supu. Hivi ile dawa Yao ya kufukiza bado wanayo?
24 May 2021
Dar es Salaam, Tanzania

MAPEMA LEO:WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MABANDA NA KUFUNGUA MAONESHO YA 6 YA UBUNIFU NA UTAFITI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM



Source : mlimani tv UDSM
 
Hhahaha! Utafiti ni pesa, ukifuatilia bajeti inayotengwa na nchi kwa ajili ya research utalia. Si ajabu vyuo vikuu vinakuja na innovation za sanamu za mabati, siwezi kushangaa. Hebu fikiria kufanya innovation ya chombo cha kwenda hapo mwezini, kwa pesa ipi?
Usikute Hilo Sanamu la Chuma ndio wanataka kwenda nalo Mwezini.
 
Ubunifu wowote usiojibu au kutatua tatizo ni kupoteza muda tu, labda ni ubunifu wa kuonesha au kufundishia tu.

Na ubunifu uende sambamba na gharama ndogo za kutengeneza ukilinganisha na kile ambacho tayari kipo sokoni ndio italeta maana. Haswa kama sio ubunifu mpya.
 
Usikute Hilo Sanamu la Chuma ndio wanataka kwenda nalo Mwezini
Hatuko serious kabisa, hivi karibuni British Airways walitoa ndege kwa chuo kikuu nafikiri cha Oxford ili kuendeleza utafiti kwenye teknolojia za ndege, najiuliza kama pale idara ya engineering UDSM wanafanya innovations zozote au hata kuendeleza teknolojia kwenye vyombo vya usafiri kama magari na ndege, na vyombo vya kwenda anga za juu, tusije kutembelea tukakuta guta lipo kwenye display.
 
Hatuko serious kabisa, hivi karibuni British Airways walitoa ndege kwa chuo kikuu nafikiri cha Oxford ili kuendeleza utafiti kwenye teknolojia za ndege, najiuliza kama pale idara ya engineering UDSM wanafanya innovations zozote au hata kuendeleza teknolojia kwenye vyombo vya usafiri kama magari na ndege, na vyombo vya kwenda anga za juu, tusije kutembelea tukakuta guta lipo kwenye display.
Engineer anapigania kubuni mashine ya kufyatulia tofali.
 
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani. Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe. Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza? Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?









View attachment 1801671
Ndo maana Bilionea akajionea ya nn kujichoresha?
 
Back
Top Bottom