Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Hatuko serious kabisa, hivi karibuni British Airways walitoa ndege kwa chuo kikuu nafikiri cha Oxford ili kuendeleza utafiti kwenye teknolojia za ndege, najiuliza kama pale idara ya engineering UDSM wanafanya innovations zozote au hata kuendeleza teknolojia kwenye vyombo vya usafiri kama magari na ndege, na vyombo vya kwenda anga za juu........tusije kutembelea tukakuta guta lipo kwenye display....
Kwa akili zipi? Choni watu wana discus Siasa masaa 24, wataweza?
 
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani. Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe. Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza? Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?









View attachment 1801671
Hayo VETA wanafanya sana hata mtaani mbona wanachomelea sana? Hapo hakuna ubunifu ni fullu usanii mtupu,

Yaani kama una pesa peleka mtoto nje, kama unamtakia mema
 
Binafsi nahisi hawajatundendea haki
Ningepewa nafasi ya kuwasaidia mawazo (idea) ambayo ndio muhimu zaidi kuliko kitu chenyewe ningependekeza
Walau wajumuishe
1, Baiskeli ya Sola, ili watu wasihangaike kuchanganya au pengine ya battery ya kucharge
2. Sola ya kufukuza ndege huko kwenye mashamba ya mpunga na hata mashamba ya Alizeti
3. Bajaji za kucharge badala ya kutumia mafuta nk
4. Viti vya kuchaji vya walemavu ili wasihangaike kusukumwa au kujisukuma kwa mikono nk
5. Tunahitaji machine ndogondogo za kuweza kudetect wapi samaki walipo huko kwenye maziwa na bahari ili wavuvi wasishinde huko na kutoka bila kitoweo nk
6. Tuna shida ya Korona , wangebuni kamtambo rahisi kakutoa oxygen
Hayo majiko ya sola na sanamu /Vinyago nk wawachie VETA

Naamini kuna changamoto nyingi ambapo hao wasomi wetu wa ngazi za juu kabisa wanatakiwa watoe ufumbuzi ili tuwe na imani kuwa tuna andaliwa wasomi wakuweza kurudi kutatua changamoto za wananchi
Ila kama hao ndio wabunifu bora kabisa walio changuliwa; tunapata wasiwasi.......
 
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani. Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe. Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza? Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?









View attachment 1801671
Kwa huo Upuuzi uliouona hapo UDSM ndiyo unategemea Tanzania kuja kuwa na Think Tanks wa uhakika wa kuiletea Maendeleo kama Mataifa mengine yaliyotuacha hapa Barani Afrika na hata huko Ulaya na Marekani?
 
Tanzania nikiambiwa chuo bora nitakitaja SUA hasa wale panya wanaoweza kutegua mabomu na tafiti zao za kilimo zina tija sana. JPM amekiharibu sana UDSM kwa kukionyesha kuwa ni chuo dhaifu hasa kwa kuwaweka hadharani akina Prof. Mimacho na Dkt. Bashiru hawa wameshusha kbs ubora wa UDSM yale maonyesho nilishangaa kuna kipindi fulani eti mtu kawa bora kwa kuandika utafiti ambao upo kwenye makaratasi.
 
Back
Top Bottom