Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Jiwe (Magufuli) alinisikitisha sana alipokuwa anang'ang'ania kujifukiza na upuuzi mwingine, huku wengine, hata majirani zetu wakijifunza mambo chungu nzima kutokana na ugonjwa huo!

Hata sasa sijui kama kuna chuo chochote hapa nchini, au taasisi yoyote inayojihusisha na utafiti juu ya ugonjwa huo!

Nilisikitika sana kuwa nawasikia hata ma-profesa wetu mashuhuri, kama wale wa Muhimbili wakijihusisha na upuuzi aliokuwa akiufanya Magufuli juu ya ugonjwa huo.

Itatuchukua muda mwingi sana kurudisha heshima ya elimu yetu kutokana na yaliyotokea kwa muda huo mfupi wa Magufuli.

Wenzetu wanaendelea kujijenga, sisi sijui hata kama tumeanza kujitambua ili tujirekebishe na upotofu ule uliofanyika.
Hivi ile mashine ya kujifukiza pale Muhimbili bado ipo ?
 
Kutojuwa kwako uwepo wa maeneo mengi yanayohitaji uvumbuzi usikufanye kuwa ndiyo hitimisho kwa wengine.

Mbona kuna mambo mengi sana ambayo hayajaguswa na binaadam yeyote na yanahitaji ugunduzi?

Kwa mfano: huyo mbu anayekusumbua kila usiku hapo nyumbani kwako hakupi adha kubwa katika maeneo mbalimbali? Piga akili ujue namna ya kuondokana na matatizo mengi anayokusababishia. Hao wazungu unaowasifu walishashindwa kazi hiyo.

Huo mwili wako pekee unahitaji kufanyiwa ugunduzi utokane na matatizo mengi unaojishughulisha nayo kila siku! Kwa mfano, kwani ni lazima ule kila siku mara zote hizo na gharama chungu nzima juu yake? Kwa nini usile mara moja kwa mwezi na maisha yaendelee kama kawaida!

Au unatambua ugunduzi kwenye mamashine ndipo utambue kuwa bado kuna sehemu zinahitaji kufanyiwa ugunduzi ili tuachane na mizengwe tunayokutana nayo kila siku katika maisha yetu? Kwa mfano: kwa nini usijitengenezee usafiri wako mwenyewe badala ya kutegemea mabasi ya UDA kukupeleka Kariakoo?
Kuhusu mbu hawajashindwa kuwaondoa..ndio mana kwako walishasahau suala la malaria..ila huku tumeachiwa mbu ili waendelee kupiga pesa kupitia dawa wanazotuuzia..kimsingi baada ya Mungu mzungu..utajitia ujinga kukataa ila ndio ukweli huo..hata wabongo wenzio kuna wambao hawataki malaria iishe ili waendelee kuchumia tumbo..ukitaka uuwe mbu..anza leo kutumia DDT pulizia nchi nzima mara kwa mara utaondosha malaria..ila kwakua wao wanalijua hilo ndio mana walipiga marufuku matumizi hayo ya DDT ila tuendelee kuhangaika na malaria wao waendelee kututawala kiuchumi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe njoo na mawazo yako ila na kuhakikishia huwezi fikia wazungu..hao watu wanaishi kwaajili ya kufanya utafiti wapo kwaajili ya kutengeneza historia mpya..sasa wewe unayehangaika hujui utakula nini utavaa nini..utegemee uje na uvumbuzi gani?kwa nchi ambayo sera yake kununua wapinzani unadhani kuna kipya hapa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kutojuwa kwako uwepo wa maeneo mengi yanayohitaji uvumbuzi usikufanye kuwa ndiyo hitimisho kwa wengine.

Mbona kuna mambo mengi sana ambayo hayajaguswa na binaadam yeyote na yanahitaji ugunduzi?

Kwa mfano: huyo mbu anayekusumbua kila usiku hapo nyumbani kwako hakupi adha kubwa katika maeneo mbalimbali? Piga akili ujue namna ya kuondokana na matatizo mengi anayokusababishia. Hao wazungu unaowasifu walishashindwa kazi hiyo.

Huo mwili wako pekee unahitaji kufanyiwa ugunduzi utokane na matatizo mengi unaojishughulisha nayo kila siku! Kwa mfano, kwani ni lazima ule kila siku mara zote hizo na gharama chungu nzima juu yake? Kwa nini usile mara moja kwa mwezi na maisha yaendelee kama kawaida!

Au unatambua ugunduzi kwenye mamashine ndipo utambue kuwa bado kuna sehemu zinahitaji kufanyiwa ugunduzi ili tuachane na mizengwe tunayokutana nayo kila siku katika maisha yetu? Kwa mfano: kwa nini usijitengenezee usafiri wako mwenyewe badala ya kutegemea mabasi ya UDA kukupeleka Kariakoo?
idea ya kijinga mnooo,gari lenyewe tu ambayo ji mashine inakula kila siku(mafuta\oil) itakua wew binadamu mwenye utumbo eti ule mara moja kwa mwezi.
 
Nakupongeza kwa ushauri wako. Mfano hiyo namba tatu ni very useful Idea.

Niliwahi fanya kilimo cha mpunga huko Morogoro miaka ya nyuma. Bajeti unayoweka Inajumuisha walinda mpunga dhidi ya ndege kazi yao ni kugonga mabati + kupiga kelele ndege wasile mpunga.

Kama hao wanaojiita wasomi wa chuo kikuu wakigundua solar machine Inayoweza kufukuza ndege mashambani ni safi sana. Mashine Inakuwa automatic kila muda fulani Inapiga kelele kufukuza ndege.
Nina uhakika zingeuza sana hizo mashine. Ila wasomi wetu wamekalia akili zao zote.

Inasikitisha kwa kweli.
Mbona zipo za kichina tiyari? Uko Dunia hii kweli?
 
Kazi gani? Soma kuhusu Singaple na kwingine, Nazani uko nje ya wakati mkuu, hizo za mbu mboba kitambo sana walisha vumbua?
 
Hhahaha.......utafiti ni pesa, ukifuatilia bajeti inayotengwa na nchi kwa ajili ya research utalia. Si ajabu vyuo vikuu vinakuja na innovation za sanamu za mabati, siwezi kushangaa....hebu fikiria kufanya innovation ya chombo cha kwenda hapo mwezini, kwa pesa ipi?
Wazungu walipokuwa wanafanya ugunduzi wa mwanzo huko walitoa wapi pesa? Hawakuwa hata na vifaa bira tulivyinavyo sasa katoka maabara za vyjo vyetu.
Sasa hivi kuna CNC mashine, printing mashine, siftaware kama AUTOCAD. Kuna vifaa vya bei poa vya mchina ambavyo serikali au profesa anaweza nunua.
Ukishindwa kununua una innivate ili ukidhi natakwa ya utafiti wako kwa gharama ndogo.
Visinguzii ni vingi sana kwa mwafrika yaani vinezidi.
Guache visinguzio, kazi ya scuentust ni kutatua tatizo osle kwenye shida.
Kama shida ni vifaa wabuni vifaa vya gharama ndogo sana sio kusingizia tu.Hao wachina baada ya kuona hawana uwezo wa kununua vifaa vya gharama kutoka ulaya ndio wakabunu vifaa vya bei poa mpaka leo tuna simu za mchina,mabasi ya YOUTONG,ZONGTING, nk
 
Hhahaha.......utafiti ni pesa, ukifuatilia bajeti inayotengwa na nchi kwa ajili ya research utalia. Si ajabu vyuo vikuu vinakuja na innovation za sanamu za mabati, siwezi kushangaa....hebu fikiria kufanya innovation ya chombo cha kwenda hapo mwezini, kwa pesa ipi?
Lazima kuanza na iyo acha kuwa na mawazo mgando pitia vzr kwenye title humu uone ule ubunifu WA wajapan kwenye Mambo ya vyoo haihitaji uwe na mzigo mkubwa WA fedha

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hahaa hivyo vitu wanavyo show hapo mbona vijana wa VETA wanatengeneza?

Ukiwa na pesa ya kueleweka peleka watoto wako wakasome hata China huko au India, Bongo hapa ni kupoteza muda sana
Unataka kusema hao maprofesa na madokta hawajaenda kusoma china, marekani nk. Wengi tu wamesoma ulaya karibu nusu ya malecture wanapelekwa kusoma ulaya.
Tutafute tatizo tusizingizie
 
Hatuko serious kabisa, hivi karibuni British Airways walitoa ndege kwa chuo kikuu nafikiri cha Oxford ili kuendeleza utafiti kwenye teknolojia za ndege, najiuliza kama pale idara ya engineering UDSM wanafanya innovations zozote au hata kuendeleza teknolojia kwenye vyombo vya usafiri kama magari na ndege, na vyombo vya kwenda anga za juu........tusije kutembelea tukakuta guta lipo kwenye display....
Bongo hawawezi kuwavuta wawekezaji wapeleke pesa za utafiti. Maana urasimu wa vyuo Bora hata Halmashauri huko wanajielewa
 
Wangetengeneza hata robotic arm ya kuzugia..... badala ya Hilo sanamu

Suala la umri wa wagunduzi lizingatiwe pia.
 
Wangetengeneza hata sensor ya kupiga Alam mwizi anapokaribia dirishan,.au ukuta..Mana wez Sasa hv wamekuwa kero
Kuna dogo mmoja alikuwa anasoma ile shule ya Arusha ambayo Jiwe aliizingua kwa kufunga a/c zao inaitwa St.Jude alishatengeneza kitu kama hiki..hawa UDSM wajiangalie,kama pesa hamna wapige pia kelele zitengwe nyingi..sio mabwenyenye serikalini wanazitafuna tu kwa kulipana posho zisizo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom