Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Kwani kila msomi kazi yake ni kufanya utafiti, wewe umesoma wapi?Si tulikubaliana JF kila mtu ni msomi?
Sasa vipi tena leo kila mtu analaumu na kulalamika wasomi wetu?
Kwahiyo wote humu ni std 7 ,
Kuna wasomi watafiti, waundaji sera, watekelezaji sera, wasimamiaji wa mifumo, washauri nk.
Phd ndio jukumu lao kubwa ni kutafiti, na hata digrii hizo ni kutafiti zaidi sio ku implement kama digrii ya kwanza.
Vipo vituo vya utafiti ambavyo kazi yao hasa ndio kutafiti ikiwepo NIMR.
Vyuo vikuu ni centre of innovatio,research and invention.
Viwanda vinatakiwa viwe centre of invention and innovation kwa sababu vinakutana na changamoto nyingi.
Company, hasa za kiteknolojia kama VODA TIGO,TTCL hizi nazo zinatakiwa zifanye innovation,invention and research.
kampuni kubwa yapaswa iwe na RND centre ila hapa kwetu hazina.
Nahitimusha kwa kusema sio kila msomi ni mtafiti ila mtifiti lazima awe msomi.
Hata ulaya haipo hivyo sio kila msomi huko ulaya ni mtafiti.
Watafiti kushindwa kazi yao isiwe nongwa kwa wengine.