Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Wamewasikia over
Screenshot_20230417-082125.png
 
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani.

Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe.

Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza?

Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?

View attachment 1801671
Hilo sanamu la mabàti linatabiri?
 
Tanzania ubunifu bado sana aisee, hivi ni nani anayewapa hawa watu vibali vya kujidhalilisha namna hii?
 
24 May 2021
Dar es Salaam, Tanzania

MAPEMA LEO:WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MABANDA NA KUFUNGUA MAONESHO YA 6 YA UBUNIFU NA UTAFITI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Source : mlimani tv UDSM

I am interested. Why wamevaa mask? Kuna nini kinaendelea?
 
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani.

Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe.

Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza?

Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?

View attachment 1801671
Hapo mlimani usikute wanapiga wanzuki
 
Hatuko serious kabisa, hivi karibuni British Airways walitoa ndege kwa chuo kikuu nafikiri cha Oxford ili kuendeleza utafiti kwenye teknolojia za ndege, najiuliza kama pale idara ya engineering UDSM wanafanya innovations zozote au hata kuendeleza teknolojia kwenye vyombo vya usafiri kama magari na ndege, na vyombo vya kwenda anga za juu, tusije kutembelea tukakuta guta lipo kwenye display.
Unajua tatizo....
Unakuta profesa anafuga ng'ombe jioni ametoka kulewa anagomba leo ng'ombe ametoa lita ngapi....
 
Back
Top Bottom