Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Ubunifu wetu ni Kama kupiga ramli. Matumizi ya teknolojia yumeyapuuza kabisa.
 
Amkeni amkeni wameanza tena. Maonyesho ya Saba ya Utafiti na Ubunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yameanza jana 20th April, 2022 kwa ngazi ya Vitengo (Colleges, Institutes, Directorates, Schools na Library). Yanatarejiwa kumalizika kesho Tarehe 24 April, 2022. Tujongee tukajifunze na kujionea
 
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani.

Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe.

Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza?

Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?

View attachment 1801671
UDSM nacho ni Chuo Kikuu cha uhakika na Intellectuals kwa sasa nchini Tanzania? Kwa sasa nikiona Mtu anasoma UDSM huwa namdharau mno kwani Hadhi ya UDSM iliishia mwaka 2005 tu.
 
Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) ndo wanajielewa zaidi
 
Back
Top Bottom