daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Ubunifu au ugunduzi siyo kwa injinia tuMimi siyo injinia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubunifu au ugunduzi siyo kwa injinia tuMimi siyo injinia...
MmhAmkeni amkeni wameanza tena. Maonyesho ya Saba ya Utafiti na Ubunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yameanza jana 20th April, 2022 kwa ngazi ya Vitengo (Colleges, Institutes, Directorates, Schools na Library). Yanatarejiwa kumalizika kesho Tarehe 24 April, 2022. Tujongee tukajifunze na kujionea
UDSM nacho ni Chuo Kikuu cha uhakika na Intellectuals kwa sasa nchini Tanzania? Kwa sasa nikiona Mtu anasoma UDSM huwa namdharau mno kwani Hadhi ya UDSM iliishia mwaka 2005 tu.Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani.
Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe.
Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza?
Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?
View attachment 1801671
na huko ndiko muafirika mweyewe alipo. hii mifumo tunaishi nayo sasa sio yetuWazee wakukopy na kupaste..ndio amana nasemaga bila mzugu tungekua bado maporini tuna kula mizizi na kuvaa ngozi..bongo hakuna wasomi ila kuna wakarirji wazuri.
#MaendeleoHayanaChama
Suit kama zote. VX zimepaki pale utawala zinapumua 24/7Hapo per diems safi
Kazi kubwa waliyonayo ni kula dada zetu tuWaacheni wasomi wetu waendelee ku-enjoy comfort zone.
Hatari sanaMaprofesa wameshindwa usafi wa vyoo wanakimbilia ubunifu feki