Mapadre acheni kuudhalilisha ukatoliki (padre aomba waumini wamchangie milion 90 anunue kluger ya kutembelea

Sasa ya kanisani umeleta huku ili tukusaidie nini.
KWA AKILI ZAKO UNADHANI MAONI YATAKAYOTOLEWA HUMU YATAFANYA WAUMINI WASIENDELEE KUMTOLEA Mungu?
Kutoa sadaka ni suala la kiimani tutaendelea kutoa bila kujali tunamtolea nani
 
Huo ndio mfumo,ukishindwa kuendana nao achana nao!. Watu wanapoanzisha dini,wanaanzisha kwa malengo yao maalum!
 
Kanisa katoliki si dawa na kanisa binafsi kama Mwamposa ambaye akikusanya sadaka anatia mfukoni.hapo padre kaomba kea kufanya taratibu hadi jimbo linajuwa.gari hiyo ni ya kanisa akihama au akiacha update inabaki hapo kea majukumu ya kanisa.Mchango huo hata usipofika basi wafadhili watajazia.
 
Hao labda mapadee wa Zamani.

Mapadre wa siku hizi wanapenda bata.

  • Wanajengewa maghorofa
  • Wanagonga mademu
  • Wanakunywa pombe

Na masisita siku hizi ni Kama baadhi ya mashirika hayana pesa, wanazurula mitaani ovyo.

Kanisa katoliki Sasa hivi halina undugu na masikini.

Michango inajengwa kuanzia kwenye jumuiya, ukikwepa jumuiya ujue hata mazishi kwako hutamuona
 
Zingatia vigezo na masharti ya kanisa, ukiombwa, toa.
Mama yako akitakiwa kupewa komunio ya mwisho kijijini padre aende na baiskeli au daladala?
 
Padri haruhusiwi kumiliki MALI… hata ikatokea umewiwa kumzawadia hilo gari ukaandika jina lake ujue hiyo ni mali ya Jimbo … wengi wanaandika ndugu ambapo kisheria haziwi mali zao.
 
Mkuu ni kweli!??
au ni furahisha genge
 
Mbona u aaandika kwa herufi kubwa tupu kama watu wa mvuti!
 
Mkuu ni kweli!??
au ni furahisha genge
ndiyo ni kweli, hii michezo ya kuchezea sadaka ipo mingi sana. Kuna mwingine alizipepeta sadaka kwenye chombo chake akidai ni mabaki ya chenji zilizobaki baada ya matumizi makubwa ya kujinunulia mahitaji, akawarushia kwa kuwamwagia wachukue chenji zao. Hataki masilesile
 
Hii Kali aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…