Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ya kanisani umeleta huku ili tukusaidie nini.Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki
Miezi miwili iliyopita nilijumuika na waumini wenzangu kwenye misa ya asubuh ndani ya kanisa katoliki lililopo maeneo ya saint carol wilayani sengerema jijini Mwanza
Mamia ya waumini tulijumuika kwenye misa hiyo,
Kitu kilichonishangaza kwenye hiyo ibada ni pale padre alipoomba waumini tumchangie pesa kiasi cha milioni 90 kwa ajili ya kununua toyota kluger ya kutembelea
Padre hakuishia hapo bali aliendelea kwa kutoa utaratibu wa namna gani pesa hiyo itapatikana
Alitoa amri kila kigango kimchangie milioni 1 na pesa nyingine alielekeza namna zitakapopatikana infact nilijiskia vibaya sana na kujiuliza hv wakatoliki kweli tumefikia hatua hii?
Leo hii tena tarehe 10 nimeudhulia misa ya asubuh kwenye kanisa lilelile padre aliongea kauli yenye ukakas sana, kwamba baba paroko amemwagiza amchukulie kiasi cha milioni moja ambacho aliwaomba waumin wamchangie akiwa kwenye ibada siku za nyuma zilizopita
Niliposkia kauli hiyo nilitoka ndani ya kanisa na kuondoka zangu
Sasa swali langu linaenda kwa wale viongozi wa juu wa kikatoliki
Kwanini mmetufanya sisi waumini wenu kama major source of income? Au mnataka tusiwe tunakuja kusali?
Haya mambo kwenye ukatoliki yameanza lini mbona mnajidhalilisha
Na hiyo kluger ya milion 90 ni kluger gan au anataka range?
Tena kaongea kabisa kwamba ameongea na wataalam wa magar wakamshaur gar nzur inayofaa kwa mazingira ya kitanzania ni kampuni ya toyota na wakamshaur anunue toyota kluger ambayo wakampatia na bei tsh milion 90 wakatoliki badiliken mnatia aibu
Huo ndio mfumo,ukishindwa kuendana nao achana nao!. Watu wanapoanzisha dini,wanaanzisha kwa malengo yao maalum!Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki
Miezi miwili iliyopita nilijumuika na waumini wenzangu kwenye misa ya asubuh ndani ya kanisa katoliki lililopo maeneo ya saint carol wilayani sengerema jijini Mwanza
Mamia ya waumini tulijumuika kwenye misa hiyo,
Kitu kilichonishangaza kwenye hiyo ibada ni pale padre alipoomba waumini tumchangie pesa kiasi cha milioni 90 kwa ajili ya kununua toyota kluger ya kutembelea
Padre hakuishia hapo bali aliendelea kwa kutoa utaratibu wa namna gani pesa hiyo itapatikana
Alitoa amri kila kigango kimchangie milioni 1 na pesa nyingine alielekeza namna zitakapopatikana infact nilijiskia vibaya sana na kujiuliza hv wakatoliki kweli tumefikia hatua hii?
Leo hii tena tarehe 10 nimeudhulia misa ya asubuh kwenye kanisa lilelile padre aliongea kauli yenye ukakas sana, kwamba baba paroko amemwagiza amchukulie kiasi cha milioni moja ambacho aliwaomba waumin wamchangie akiwa kwenye ibada siku za nyuma zilizopita
Niliposkia kauli hiyo nilitoka ndani ya kanisa na kuondoka zangu
Sasa swali langu linaenda kwa wale viongozi wa juu wa kikatoliki
Kwanini mmetufanya sisi waumini wenu kama major source of income? Au mnataka tusiwe tunakuja kusali?
Haya mambo kwenye ukatoliki yameanza lini mbona mnajidhalilisha
Na hiyo kluger ya milion 90 ni kluger gan au anataka range?
Tena kaongea kabisa kwamba ameongea na wataalam wa magar wakamshaur gar nzur inayofaa kwa mazingira ya kitanzania ni kampuni ya toyota na wakamshaur anunue toyota kluger ambayo wakampatia na bei tsh milion 90 wakatoliki badiliken mnatia aibu
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki

Hakuna uhiari wowote.Sio kuogopwa ni kutambua Kazi yake..na kumtia moyo...kaskazini huwa wanafanya kwa hiari...waumini kwa hiari yao ndo wanaji organize
Hao labda mapadee wa Zamani.Hakuna huo utaratibu na padre haruhusiwi kumiliki mali binafsi. Hapo imetumika lugha ya mafumbo aliposema gari lake anamaanisha "gari la parokia" . Wakati mwingine mapadre wakiomba kuchangiwa labda kwa 'mkono wa kwaheri' au sababu fulani, hiyo pesa huwa hawaitumii kwa matumizi binafsi bali utakuta wanapeleka kutoa misaada au wanapeleka kwenye shirika fulani na huwa hawasemi inabaki mioyoni mwao. Mfano kuna padre aliandika vitabu kadhaa kwa hiyo akaomba waumini wamchangie kununua hivyo vitabu ili apate pesa kidogo, Lakini kumbe baadaye ilijulikana ile pesa yote alipeleka kuchangia kituo maalum cha rehab.
Zingatia vigezo na masharti ya kanisa, ukiombwa, toa.Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki
Miezi miwili iliyopita nilijumuika na waumini wenzangu kwenye misa ya asubuh ndani ya kanisa katoliki lililopo maeneo ya saint carol wilayani sengerema jijini Mwanza
Mamia ya waumini tulijumuika kwenye misa hiyo,
Kitu kilichonishangaza kwenye hiyo ibada ni pale padre alipoomba waumini tumchangie pesa kiasi cha milioni 90 kwa ajili ya kununua toyota kluger ya kutembelea
Padre hakuishia hapo bali aliendelea kwa kutoa utaratibu wa namna gani pesa hiyo itapatikana
Alitoa amri kila kigango kimchangie milioni 1 na pesa nyingine alielekeza namna zitakapopatikana infact nilijiskia vibaya sana na kujiuliza hv wakatoliki kweli tumefikia hatua hii?
Leo hii tena tarehe 10 nimeudhulia misa ya asubuh kwenye kanisa lilelile padre aliongea kauli yenye ukakas sana, kwamba baba paroko amemwagiza amchukulie kiasi cha milioni moja ambacho aliwaomba waumin wamchangie akiwa kwenye ibada siku za nyuma zilizopita
Niliposkia kauli hiyo nilitoka ndani ya kanisa na kuondoka zangu
Sasa swali langu linaenda kwa wale viongozi wa juu wa kikatoliki
Kwanini mmetufanya sisi waumini wenu kama major source of income? Au mnataka tusiwe tunakuja kusali?
Haya mambo kwenye ukatoliki yameanza lini mbona mnajidhalilisha
Na hiyo kluger ya milion 90 ni kluger gan au anataka range?
Tena kaongea kabisa kwamba ameongea na wataalam wa magar wakamshaur gar nzur inayofaa kwa mazingira ya kitanzania ni kampuni ya toyota na wakamshaur anunue toyota kluger ambayo wakampatia na bei tsh milion 90 wakatoliki badiliken mnatia aibu
Sio hawa Mapadre wa sikuhiziPadri haruhusiwi kumiliki MALI… hata ikatokea umewiwa kumzawadia hilo gari ukaandika jina lake ujue hiyo ni mali ya Jimbo … wengi wanaandika ndugu ambapo kisheria haziwi mali zao.
Mkuu ni kweli!??Kuna mwingine baada ya kumalizika zoezi la kutoa sadaka kabla hazijahesabiwa aliingiza mkono kapuni na kuchota sadaka kadiri alivyoweza kuzikamata na zilizobaki aliwaambia wakusanya sadaka kuwa hizo zilizobaki kapuni ndio wakazihesabu, yeye tayari keshajichotea zake kwa matumizi binafsi
Mbona u aaandika kwa herufi kubwa tupu kama watu wa mvuti!ULALAMISHI MWINGI NI TABIA YA KIUANAMKE AU KIMASKINI. WEWE KAMA HUNA NYAMAZA. SISI TUTACHANGIA. MBONA SI ISSUE? HUJALAZIMISHWA. KAMA HUNA LALA MBELE AU NYUTI TU WATAENDELEA WENGINE KUCHANGIA. NYIE MADOGO WA MIAKA YA 2000s ni walalamishi sana. Mambo mengine unaamua tu kama mwanaume.
Hapo hapo ndipo wanapotuminyia makendemichango huanzia kule ngazi ya jumuiya, usipochanga ukifa huzikwi na padri ndo silaha wanayotumia
Ukisema neno tigo nasisimka sana baba.Acheni kulana tigo.
ndiyo ni kweli, hii michezo ya kuchezea sadaka ipo mingi sana. Kuna mwingine alizipepeta sadaka kwenye chombo chake akidai ni mabaki ya chenji zilizobaki baada ya matumizi makubwa ya kujinunulia mahitaji, akawarushia kwa kuwamwagia wachukue chenji zao. Hataki masilesileMkuu ni kweli!??
au ni furahisha genge
FUMBO LA MAOKOTOFumbo la imani
....
Hii Kali aisee.Kuna mwingine baada ya kumalizika zoezi la kutoa sadaka kabla hazijahesabiwa aliingiza mkono kapuni na kuchota sadaka kadiri alivyoweza kuzikamata na zilizobaki aliwaambia wakusanya sadaka kuwa hizo zilizobaki kapuni ndio wakazihesabu, yeye tayari keshajichotea zake kwa matumizi binafsi