Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Wavute na bange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi ki teolojia sifa zake zipo mfano biblia hakuna mahala imekataza kuvuta bangi .ila sifa kuu ya dhambi huwa ni jambo lolote linalohatarisha maisha yako au ya mwenzako .sigara hufupisha maisha kama ilivyo ulaji kitimoto.kisayansi mvuta sigara anapata madhara madogo ukilinganisha na madhara anayoleta kwa kunukia sigara .kutoa moshi wa sigara hewani kutoa mkojo wenye sumu ya sigara vichakani .mfano asali ya tabora imekataliwa kuingia nchi mbalimbali kwa sababu tu kilimo cha tumbakuu kimezidi hivo nyuki wameweka sumu ya sigara kwenye asali.hivo kuvuta sigara ni kuua .ukiwa unanukia sigara ukakumbatiana n'a mama mjamzito kumsalimu tu kila siku mara 30 hiyo sumu imetosha mama huyo kuzaa taahila .Yaani tumefika huku.
Hebu tuambie kuvuta sigara kunauhusiano gani na utendaji dhambi?
Kumbuka msingi mkuu wa utendaji dhambi ni amri kumi za Mungu. Tuambie msingi wa hiyo dhambi unayotaka kuisema ni upi?
Na kwa nini unawasema viongozi wa dini tu kama ni dhambi haijalishi cheo chako bali tendo lako linafanya utende dhambi.
Kwa nini nisiseme unalengo mahsusi la kuchafua viongozi fulani wa dini?
Tupe msingi wa dhambi hii ya kuvuta sigara
ONDOA KAMBALE, NA KUMBIKUMBI vingine vipo sawa
nguruwe, ngono na pombe umejikataza mwenyewe. Hatujakatazwa.Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa ,sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya.
Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake.
Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara,nafahamu mashehe kadhaa wanaovuta sigara ,wanajitetea kuwa hakuna kifungu kwenye bible wala msahafu unaokataza sigara
Ni kweli hakuna lakini kwangu sigara ni dhambi mpya iliyosahulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu.
Itafutwe bamna ichomekwe kwenye hivi vitabu vitakatifu
Kitu chochote kilichokatazwa kwenye vitabu vitakatifu kuanzia nguruwe,ngono,kambale,kumbikumbi,kunguru,ufiraji,wizi,uongo,usengenyaji ,pombe nk vina mashara kiafya.
uduwanzi unakutesa. Bangi na nguruwe vinahusika vipi na upuuzi?Dhambi ki teolojia sifa zake zipo mfano biblia hakuna mahala imekataza kuvuta bangi .ila sifa kuu ya dhambi huwa ni jambo lolote linalohatarisha maisha yako au ya mwenzako .sigara hufupisha maisha kama ilivyo ulaji kitimoto.kisayansi mvuta sigara anapata madhara madogo ukilinganisha na madhara anayoleta kwa kunukia sigara .kutoa moshi wa sigara hewani kutoa mkojo wenye sumu ya sigara vichakani .mfano asali ya tabora imekataliwa kuingia nchi mbalimbali kwa sababu tu kilimo cha tumbakuu kimezidi hivo nyuki wameweka sumu ya sigara kwenye asali.hivo kuvuta sigara ni kuua .ukiwa unanukia sigara ukakumbatiana n'a mama mjamzito kumsalimu tu kila siku mara 30 hiyo sumu imetosha mama huyo kuzaa taahila .
KUVUTA SIGARA NI ROHO YA SHETANI YA KUPENDA FURAHA YA MUDA BILA KUTOKUWA NA UPENDO WA AFYA YAKO NA ZAIDI AFYA YA BINADAMU WENZIO WANAOKUZUNGUKA .MADHARA YA PAFU LA SIGARA MOJA HUENDA MITA 500 SAWA NA KARIAKOO NZIMA
Hakuna loophole kwenye mambo ya dini kwasababu dini imejengwa kwenye misingi madhubuti, halafu sio sigara tu vingi tu havijatajwa moja kwa moja ulitaka quran itaje kila kitu kimoja kimoja ni daftari la mahudhurio hilo?.Point yangu ni kwamba sigara haijatajwa moja kwa moja na hiyo ni loop jole kwa wavutaji,inategemea na tafsirueishi zanzibar mashehe hawagusi pombe kabisa ila sigara wanavuta
mapadre na wao huwa wanapanga nyumba mtaani mkuu? hii ndo naisikia leo.Mapadri wanatumia Pombe Kali sana, Kuna nyumba nihamia ila kabla yangu walikuwa wanaishi mapadri.....stoo kulijaa chupa za kila kilevi na Kuna sehemu palijaa vishungi vya sigara yaani utadhani ni danguro vile.........
Bangi ni mbaya kwa afya ya mwanadamu kuivuta.ila yafaa kwa matumizi ya madawa sana ila sio kuvutauduwanzi unakutesa. Bangi na nguruwe vinahusika vipi na upuuzi?
Yeah pale Mbezi Louis kaulize Kuna nyumba walikuwa wamepanga wakati wakijengewa zao,ipo kwenye kimlima hivimapadre na wao huwa wanapanga nyumba mtaani mkuu? hii ndo naisikia leo.
Wafuasi wa Ellen G White mna shida kweli kweli.Viongozi wa dini zongine wanakemea sigara isipokuwa mashehe na mapadri wa RC
Nimekuelewa mkuu tunaelimishana tuHakuna loophole kwenye mambo ya dini kwasababu dini imejengwa kwenye misingi madhubuti, halafu sio sigara tu vingi tu havijatajwa moja kwa moja ulitaka quran itaje kila kitu kimoja kimoja ni daftari la mahudhurio hilo?.
Mirungi haijatajwa directly na ni haramu, shisha kadhalika, madawa ya kulevya kadhalika na mengine mengi na yote ni haramu kwa mujibu wa kanuni za uislamu.
Hao mashekhe wanaovuta sigara wanafuata matamanio ya nafsi zao na uislamu uko mbali na matendo yao hayo.
Samahani kwa lugha kali kidogo ila sijapenda ulichokifanya kuna watu hutafuta hizi chochoro kutukana dini ya allah pasi na hoja wala ushahidi.
Mapadre Walikuwa wamempanga? Au unataka kutuambia nnMapadri wanatumia Pombe Kali sana, Kuna nyumba nihamia ila kabla yangu walikuwa wanaishi mapadri.....stoo kulijaa chupa za kila kilevi na Kuna sehemu palijaa vishungi vya sigara yaani utadhani ni danguro vile.........