Mapaja meupe yote nje....Lol

Mapaja meupe yote nje....Lol

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho wanaponunua nguo,nguo za disco unakuja nazo library.
 
unataka hadi uambiwe biashara matangazo
 
Imebidi nihame,mana kingamuzi changu kilianza dalili za kukata picha
 
weka picha kaka au umeshidwa kupata picha tupe kitu kamili bwana digital haitaki vitu nusunusu
 
Hana meusi kaka,kitu digital
 
Hapo Library labda kuna joto ndio maana mdada kaamua kujiachia,du!umeona mambo mambo au?Maana siku hizi wadada wengi hawavai kufuli.
 
ungemwambia kaa vizuri mwenzio nashindwa kusoma........watu wanshindwa kutofautisha mavazi ya disco na mavazi ya darasani.
 
Ni kua kina dada wanajaribu kutupotezea concentration,jamani hakuna chuo kikuu boys nihamie huko
 
Kama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho wanaponunua nguo,nguo za disco unakuja nazo library.

Chuo gani hicho, una mapunugufu gani ? Enzi zetu kulikuwa na kitu kinaitwa "Mbanano"; ambazo zilikuwa na aina tatu za Mbanano - Academic, Financial and Social. Sasa angalia labda neema ya Academic Mbanano inakushukia.
 
DId you really think this was a thread worth posting in Jukwaa la elimu? Au kwa vile yalitokea library tu ukaona yanahusiana na education?
 
The post isl synonymous to intellect Paradigm
 
Back
Top Bottom