Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Nothing worth . . . .tamaa tu! ( )
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mapaja mangapi unakutana nayo hapo chuoni kwenu??So tamaa,macho hayana pazia
Kama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho wanaponunua nguo,nguo za disco unakuja nazo library.
are you serious??Ni kua kina dada wanajaribu kutupotezea concentration,jamani hakuna chuo kikuu boys nihamie huko
Tupia kapicha basiKama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho wanaponunua nguo,nguo za disco unakuja nazo library.
Tangu 2013 Leo ndio nataka picha hamuwezi kuwa siriazi ninyi
WEKA PICHA, UMENIKUMBUSHA CHUO, JAMAA WALIKUTWA WANASX LIBRARY..