chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 902
Ni mavazi na elimu kaka,
Tena wakati wa mitihani kama UE naona linafaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mavazi na elimu kaka,
Wewe soma acha kuangalia mapaja ya akina dada!
bora ulibahatika kuyaona yaliyo meupe...usiombe ukutane na mapaja meusiiii tiii kama kinyago cha mpingo!! stimu zote zinaondoka
Nawasiwasi na msuli ulopiga leo, sidhan kama umeelewa mkuu.
Sijawahi ona chupi
Kama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho wanaponunua nguo,nguo za disco unakuja nazo library.
Mambo ya FB yanazidi kuyoyoma humu JF