Mapaja meupe yote nje....Lol

Ungeendelea kupiga chabo tu badae unampa kimemo ukimwambia uko hoi...bdae ungepata chakula.
 
bora ulibahatika kuyaona yaliyo meupe...usiombe ukutane na mapaja meusiiii tiii kama kinyago cha mpingo!! stimu zote zinaondoka
 
Nawasiwasi na msuli ulopiga leo, sidhan kama umeelewa mkuu.
 
mweeeeh,akitoka library mfate mwambie umeniharibia study yangu.
 
Nilihama pale mana network ilianza kukata
 
Hilo ndio somo gani la kuangalia mapaja meupe?
 
Sidhani kama ni mara yako ya kwanza kumuona mtu wa namna hiyo chuoni kwako!

Hebu mwambie ukweli ili asirudie tena!
 
Kama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho wanaponunua nguo,nguo za disco unakuja nazo library.

BUMIJA wenzako wanatafuta academic perfomance sponsor na vinguo vyao hivyo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…