Mapaja yangu yanatoa unga, tatizo ni nini?

Hatari sana mkuu, basi tu Mungu yuko fair sana. Imagine, kuna siku nilipanda daladala inaanzia pale Muhimbili hospital afu ndani ya daladala watu wengi sana, nikashika bomba doh nikawaza mengi sana. Nikachunguza viti, na kucheki watu mule ndani ambao most of them wametoka ona ndugu zao hospitali ama wenyewe ni wagonjwa. Mzee unaweza changanyikiwa hapo mtu hajakohoa bado. Usikute nami nimekuwa contaminated huko hospital baada ya kumsalimia dokta msela wangu na kuleta kwenye daladala. Acha tu, Mungu mkubwa.
 
Weka picha mkuu tuone kama ni tatizo la ngozi au ni msuguano maana tiba nyingine hadi tuone na tatizk lengwa
 
Hizo ni dalili za ukwimi kapime uanze kutumia dawa. Pole sana
 
Hongera Sana mkuu, Mungu ameona hii Ni serikali ya viwanga hivyo kaamua kukupa kiwanda Cha sembe. Mwite mh Rais aje azindue uanze supply.....(joke)

Pole mkuu, nenda hospitali kamuone dermatologist
hahaaaaaaaaa
wakati unaandika hii comments ulikuwa katika hali gani maana sijategemea kuona comments ya type hii kwenye mada kama hii
 
Ndioo uanaume huo, inabidi na mgongon utoke nako, kama ww ni Ke bs wahi hospital mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…