Mapaja yangu yanatoa unga, tatizo ni nini?

Mapaja yangu yanatoa unga, tatizo ni nini?

Aiseeee...
Ndio maana ukipewa mkono wewe jikaushe au jifanye mikono yako michafu, au gonga ngumi...
Ila mkuu kuna mambo mengi sana tu, handles za milango, milango, mabomba kwenye daladala, chenji, milango ya magari, kuokota okota vitu hovyo barabarani, hela tunazopokea na kutoa, matunda kula bila kuosha, PC kwenye internet cafes, lock za milango ya choo, ukiomba pen ya mtu, upandapo kwenye boda lazima utashika mabomba au chochote, ...the list is endless...
Unaweza hata kuwa kichaa kipi ushike kipi usishike, ndio maana kuna watu kunawa mikono kwao ni jadi na kawaida, kila wakati na kila muda...
End of the day mie naona ni kudra za mwenyezi mungu kutuokoa na magonjwa...
Hii thread imenikumbusha tena umuhimu wa kunawa mikono kila wakati, na kuepuka kushika shika watu au vitu..
Hatari sana mkuu, basi tu Mungu yuko fair sana. Imagine, kuna siku nilipanda daladala inaanzia pale Muhimbili hospital afu ndani ya daladala watu wengi sana, nikashika bomba doh nikawaza mengi sana. Nikachunguza viti, na kucheki watu mule ndani ambao most of them wametoka ona ndugu zao hospitali ama wenyewe ni wagonjwa. Mzee unaweza changanyikiwa hapo mtu hajakohoa bado. Usikute nami nimekuwa contaminated huko hospital baada ya kumsalimia dokta msela wangu na kuleta kwenye daladala. Acha tu, Mungu mkubwa.
 
Wakuu moja kwa moja kwenye mada,.
nimekuwa na tatizo yani kati kati ya mapaja ambapo zile mbegu mbili zaegemea(zinapumzikia)naona kuna alama fulani imejichora na kisha huwa nikiwasha hutoka unga unga wakuu na jana nimetizama naona kama kuna vijipele ambavyo kwa mbali kama mabaka .

tatizo ni nini wakuu naombeni ushauri wenu wa awali
Weka picha mkuu tuone kama ni tatizo la ngozi au ni msuguano maana tiba nyingine hadi tuone na tatizk lengwa
 
Wakuu moja kwa moja kwenye mada,.
nimekuwa na tatizo yani kati kati ya mapaja ambapo zile mbegu mbili zaegemea(zinapumzikia)naona kuna alama fulani imejichora na kisha huwa nikiwasha hutoka unga unga wakuu na jana nimetizama naona kama kuna vijipele ambavyo kwa mbali kama mabaka .

tatizo ni nini wakuu naombeni ushauri wenu wa awali
Hizo ni dalili za ukwimi kapime uanze kutumia dawa. Pole sana
 
Hongera Sana mkuu, Mungu ameona hii Ni serikali ya viwanga hivyo kaamua kukupa kiwanda Cha sembe. Mwite mh Rais aje azindue uanze supply.....(joke)

Pole mkuu, nenda hospitali kamuone dermatologist
hahaaaaaaaaa
wakati unaandika hii comments ulikuwa katika hali gani maana sijategemea kuona comments ya type hii kwenye mada kama hii
 
Wakuu moja kwa moja kwenye mada,.
nimekuwa na tatizo yani kati kati ya mapaja ambapo zile mbegu mbili zaegemea(zinapumzikia)naona kuna alama fulani imejichora na kisha huwa nikiwasha hutoka unga unga wakuu na jana nimetizama naona kama kuna vijipele ambavyo kwa mbali kama mabaka .

tatizo ni nini wakuu naombeni ushauri wenu wa awali
Ndioo uanaume huo, inabidi na mgongon utoke nako, kama ww ni Ke bs wahi hospital mapema sana
 
Back
Top Bottom