Mapambano ambayo yapo mbele yako

Mapambano ambayo yapo mbele yako

Leo Taikon wa fasihi haujataka hadithi nyingi, ni mwendo wa misumari mwanzo mwisho, ilikua Bado na scroll nashangaa unaaga.

Andiko zuri kutukumbusha kwenye mapambano.
 
Nipo kwenye silaha namba 6 hapo napafanyia kazi, siku hizi wachawi wako wapo hapo namba 6 kuliko wengi tunavyoamini vibibi vizee vichawi ndio vinakuwangia.

Vijana ndio wachawi hatari sasa hivi wana majini machoni na midomoni mwao kukuombea mabaya tu.
 
LAKIN TAIKON,KWANINI KTK MABANDIKO NA UFAHAMU WAKO HUWA(NIONAVYO) HUWAPI NAFASI/HUWATAMBUI WANAWAKE KAMA KIUMBE??
 
LAKIN TAIKON,KWANINI KTK MABANDIKO NA UFAHAMU WAKO HUWA(NIONAVYO) HUWAPI NAFASI/HUWATAMBUI WANAWAKE KAMA KIUMBE??

Ukimtaja mwanaume tayari ushataja mwanamke.

Ndani ya mwanaume yupo Mwanamke,
Ila ndani ya mwanamke hakuna mwanaume
 
Back
Top Bottom