#COVID19 Mapambano dhidi ya COVID-19: Rais Samia anayo dhamira ya kweli? Kinachoendelea India kinatisha

Kila taifa lipo duniani kwa sababu. Sio kila kinachowakuta wengine kitukute na sisi, Mungu wetu yupo hai.
Sasa kwa nini aliunda kamati ya corona?

Au ni mwanya na fursa ya kupiga hela?
 
Mkuu inawezekana kamati haijapata majibu.

Kamati nadhani majibu wanayo tatizo ni timing ya kuweka wazi mapendekezo yao!! Kumbuka kuwa Rais pia hajaweka wazi Uchunguzi wa BOT alioagiza ufanyike!!
 
Jana hukuona mkutano mkuu wa CCM hali ilivyokuwa?
 
Bado kamati inafanya utafiti. Hivyo kazi iendelee hadi utafiti utakapokamilika
 
Kamati nadhani majibu wanayo tatizo ni timing ya kuweka wazi mapendekezo yao!! Kumbuka kuwa Rais pia hajaweka wazi Uchunguzi wa BOT alioagiza ufanyike!!
Ama watu wanapewa kazi lakini hazikamiliki kwa wakati.
 
Hii Covid-19 iliyopotea nchini mara tu baada ya kifo cha JPM inafikirisha sana.
Nilidhani tu ni mimi niliyegundua hili.
Kuwa tangu JPM aende ni kama corona nayo haizungumziwi.
 
Pengine hiyo kamati haijampa ripoti au imemhakikishia kuwa hakuna corona nchini.
 
Suala la afya Ni jukumu lako usitegemee Sana Serikali kwani Ina Mambo yake mengine
 
Nasikia corona inapenda sana watu wabishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…