#COVID19 Mapambano dhidi ya COVID-19: Rais Samia anayo dhamira ya kweli? Kinachoendelea India kinatisha

Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?

Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!

Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana.

Sasa kweli hiyo kamati aliyoiunda Rais Samia ili imshauri kuhusu corona ndo imemwambia kwamba ni sawa tu watu kwenda na kurundikana hapo uwanja wa Kirumba namna hiyo?

Ona hata hapo walipokaa hao viongozi! Hakuna social distancing. Hakuna barakoa. Hakuna tahadhari yoyote ile ya maana.

Hahahaaaaa…..what is this?

View attachment 1769853
Ongeza sauti, kwenye hili naona bado hatuko serious
 
Really? Seriously?????

Wanapata kigugumizi kwa kufikiria gharama ambazo itawalazimu kuingia wakikubali kuwa chanjo inahitajika!! Jiwe yeye aliamini kuwa angekubali chanjo ingebidi kudivert funds kutoka kwenye Miradi yake ya SGR na stiegler's Gorge, hivyo akakomaa na denial kuwa corona hakuna!! He never thought about the human aspect.

There is another aspect on he health angle; nobody knows the long term side effects of the vaccines hence the hesitancy to accept that they be introduced.!! But studies in other countries have shown that the benefits of vaccination outweigh the risks!! Watu Wengi waliochanjwa hata wakiambukizwa corona hawafi lakini wengi wanaokufa ni wale ambao hawajachanjwa.!!
 
Kama hadi leo bado hujaijua akili ya rangi nyeusi utakua una matatizo ya akili!
 
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?

Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!

Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana.

Sasa kweli hiyo kamati aliyoiunda Rais Samia ili imshauri kuhusu corona ndo imemwambia kwamba ni sawa tu watu kwenda na kurundikana hapo uwanja wa Kirumba namna hiyo?

Ona hata hapo walipokaa hao viongozi! Hakuna social distancing. Hakuna barakoa. Hakuna tahadhari yoyote ile ya maana.

Hahahaaaaa…..what is this?

View attachment 1769853
Wasukuma muacheni mama afanye kazi, nyi rais wenu ameshakufa, na Wala mlikuwa hamumwambii kuwa achukue tahadhali juu ya covid19, hadi ilipompitia ye mwenyewe,....
 
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?

Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!

Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana.

Sasa kweli hiyo kamati aliyoiunda Rais Samia ili imshauri kuhusu corona ndo imemwambia kwamba ni sawa tu watu kwenda na kurundikana hapo uwanja wa Kirumba namna hiyo?

Ona hata hapo walipokaa hao viongozi! Hakuna social distancing. Hakuna barakoa. Hakuna tahadhari yoyote ile ya maana.

Hahahaaaaa…..what is this?

View attachment 1769853
Lazima tuenzi falsafa za aliyetangulia, kutokuvaa mabarakoa ni heshima kwake🤸🤣
 
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?

Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!

Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana.

Sasa kweli hiyo kamati aliyoiunda Rais Samia ili imshauri kuhusu corona ndo imemwambia kwamba ni sawa tu watu kwenda na kurundikana hapo uwanja wa Kirumba namna hiyo?

Ona hata hapo walipokaa hao viongozi! Hakuna social distancing. Hakuna barakoa. Hakuna tahadhari yoyote ile ya maana.

Hahahaaaaa…..what is this?

View attachment 1769853
Kuunda kamati ya kuchunguza uwepo wa Corona na kama chanjo zinafanya kazi ni jibu tosha. Tanzania hamna Corona.

Amandla...
 
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?

Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!

Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana.

Sasa kweli hiyo kamati aliyoiunda Rais Samia ili imshauri kuhusu corona ndo imemwambia kwamba ni sawa tu watu kwenda na kurundikana hapo uwanja wa Kirumba namna hiyo?

Ona hata hapo walipokaa hao viongozi! Hakuna social distancing. Hakuna barakoa. Hakuna tahadhari yoyote ile ya maana.

Hahahaaaaa…..what is this?

View attachment 1769853
There is something always bothering me.

Mori alikua akipiga kampeni na maelfu ya watu walikuwa wakikusanyika kila mahali penye mikutano ya kisiasa.

Pia mwezi ulopita kulikuwepo lile tamasha la Kumbh mela ambapo watu hujazana wakioga kwenye mto Ganges.

Lakini yasemwa kuwa Mori alidharau ushuri wa wataalam wa afya kuhusu athari za ugonjwa kwenye mikusanyiko ya kisiasa au kule Ganges.

Hadi sasa watu milioni 19.1 wameambukizwa ugonjwa na 211,853 wamefariki kwa ugonjwa huuhuu wa COVID-19.

Sisi watanzania mwezi ulopita tulifikwa na msiba mkubwa wa kiongozi wa nchi na watu walikusanyika kila sehemu ya nchi hii wakiombeleza hivyo mikusanyiko uilikuwepo.

Lakini baada ya hapo hakukutangazwa athari zozote za ugonjwa wa COVID-19 na hapajatanganzwa vifo vyovyote vya idadi yoyote kubwa.

Sasa pana mkusanyiko mwingine mkubwa huko CCM Kirumba Mwanza kwenye sherehe za Mei Mosi.

Baada ya leo tutatusubiri kama kuna maambukizi yoyote yale.

Bado nasubiri hii makitu COVID-19 imekaaje maana siielewi.
 
Oh yeah?

Kwa hiyo corona si changamoto za upumuaji tena?
Kwa Tz hiyo haijawa changamoto. Ushahidi ni mikusanyiko mikubwa ambayo imeshafanyika tangu hili janga lilipotangazwa duniani na bado hakujawa na mlipuko wa maambukizi na hata vifo (kama vipo ni kwa kiasi kidogo sawa tu na magonjwa mengine).
 
Back
Top Bottom