Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Na viwanja vya ndege ni hatari sana sana nashangaa bongo ile hawazingatii barakoa wala sanitizer wakati wanapokea wageni tena kutoka kwenye Nchi hatarishi Brazil,India,UK hata SA pia...Wabongo namna tuna laana ya aina fulani. Ila uzuri (japo inasikitisha) ni kuwa yule aliyekuwa analisha watu ujinga wa nyungu alishindwa kuitumia hiyo nyungu alipougua.
Naelewa uzuri tu.Comment yako haionyeshi kama umeelewa vizuri.
Wapi huko!?Daah huku usipovaa barakoa unaweza kwenda jela mpaka kesho kuingia duka lolote lazima unapewa sanitizer inasaidia sana sana na mambo ya social distance yanasaidia mno na viwanjani washabiki hawaendi ila bongo kila kitu wanachukulia poa tuu..
Sasa waanza uzushi.Naam,ndo maana watanzania wengi wamepukutika sana, inakadiriwa kuwa takribani watanzania milioni 36 wamekwenda kwa korona.
Inafikirisha mno, imepambana mpk imeondoka nae na yenyew ikazikwa naeHii Covid-19 iliyopotea nchini mara tu baada ya kifo cha JPM inafikirisha sana.
Hivi kwanini mnalazimisha kuwa Magufuli alikufa kwa corona? Mlikuwa mnasema ameshachanja chanjo ya china na ndio maana anaidharau corona havai barakoa ila alivyokifa mnasema kafa na corona et kisa aliidhairau. Sasa tena wengine wameanza kusema Mama samia atakuwa ameshachanja chanjo ya corona.Wabongo namna tuna laana ya aina fulani. Ila uzuri (japo inasikitisha) ni kuwa yule aliyekuwa analisha watu ujinga wa nyungu alishindwa kuitumia hiyo nyungu alipougua.
SAWapi huko!?
Tz wangeiga huo utaratibu.
Nani alisema alikuwa amechanja? Asingeweza kuchanja kwani alikuwa anasema chanjo zina corona. Kusema kafa kwa corona siyo kulazimisha bali ni kusema ukweli.Hivi kwanini mnalazimisha kuwa Magufuli alikufa kwa corona? Mlikuwa mnasema ameshachanja chanjo ya china na ndio maana anaidharau corona havai barakoa ila alivyokifa mnasema kafa na corona et kisa aliidhairau. Sasa tena wengine wameanza kusema Mama samia atakuwa ameshachanja chanjo ya corona.
Kweli nimekinali watanzania mnalaaana ya kiwango cha Jobo.
Siyo kila wakati mikusanyiko itasababisha maambukizo. Inategemea kama kwenye mikusanyiko kulikuwa na watu wenye virus. The general rule ni kuwa mikusanyiko ni hatari iwapo kuana watu wenye maambukizo. Sasa kwa sababu ni vigumu kuwajua watu wenye virus kwa macho basi ni vizuri kuepuka mikusanyiko kwa muda. Hata Tanzania sasa hali imetulia lakini hii haina maana kuwa tuko salama. Inaweza kulipuka tena na inaweza kuwa mbaya zaidi.Naelewa uzuri tu.
Na nimeuliza, je mbona sisi tulikuwa na mikusanyiko mwezi March na hatuna taarifa zozote za wagonjwa wapya waloambukizwa?
Pia leo maelfu ya watu walijazana CCM Kirumba Mwanza kwenye sherehe za Mei Mosi hivyo twangojea data baada ya wiki moja au mbili.
India wamefanya sana mikutano ya kisiasa, tamasha la Kumbh Mela na maandamanio ya wakulima na leo watu milioni 19.1 wameambukizwa na 211, 043 wamekufa.
Unisome uzuri unielewe.
Nilimsifia Magufuli kwa mambo matatu [kuhusu corona].Nakumbuka sana ulivyokuwa unamsifia Magu na sera zake za porini za covid. Uliwazodoa sana CHADEMA walipokuwa wanasisitiza standard measures ambazo umezigusia. Nini kimebadilika mkuu? Si ingefaa sera za nyingi ziendelee?
Hata Magu alipowazodoa wanaovaa Barakoa na kutamba kwamba yeye na wasaidizi wake, mkaona ni poa tu. Vipi tena?
Kwani rais Samia alisema lini kama tanzania kuna covid-19? Rais Samia alikuwa makamo wa rais katika serikali iliyotujulisha kuwa hakuna covid-19 tanzania, na hadi sasa amekuwa rais hakusema kama covid ilikuwepo tanzania au covid imeingia tanzania sasa. Usiwe na wasi wasi mtanzania mwenzangu tanzania virusi vya covid haviwezi kustahamili juto la tanzania na ndio maana hakuna kesi zozote zile, ila upo ugonjwa mmoja ambao haupo nchi nyengine yeyote ile, ugonjwa wenyewe ni ugonjwa wa kupumua.Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?
Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!
Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana.
Sasa kweli hiyo kamati aliyoiunda Rais Samia ili imshauri kuhusu corona ndo imemwambia kwamba ni sawa tu watu kwenda na kurundikana hapo uwanja wa Kirumba namna hiyo?
Ona hata hapo walipokaa hao viongozi! Hakuna social distancing. Hakuna barakoa. Hakuna tahadhari yoyote ile ya maana.
Hahahaaaaa…..what is this?
View attachment 1769853
Sasa kwa nini kaunda tume ya corona?Kwani rais Samia alisema lini kama tanzania kuna covid-19? Rais Samia alikuwa makamo wa rais katika serikali iliyotujulisha kuwa hakuna covid-19 tanzania, na hadi sasa amekuwa rais hakusema kama covid ilikuwepo tanzania au covid imeingia tanzania sasa. Usiwe na wasi wasi mtanzania mwenzangu tanzania virusi vya covid haviwezi kustahamili juto la tanzania na ndio maana hakuna kesi zozote zile, ila upo ugonjwa mmoja ambao haupo nchi nyengine yeyote ile, ugonjwa wenyewe ni ugonjwa wa kupumua.
Suali zuri sana! jibu ni kuwa hii yote ni changa la moto tu. Kwa mimi naaona kuwa huyu bado haamini kuwa tanzania corona ipo. Pia anajaribu kujinasua nasua katika nyavu maana serikali aliyokuwa kiongozi wa pili ndio iliyokana, hence nae alikana kuwepo corana tanzania sasa anatafuta namna ya kuepuka kuitwa mnafiki.Sasa kwa nini kaunda tume ya corona?
Anataka kuridhisha watu wote naona…Suali zuri sana! jibu ni kuwa hii yote ni changa la moto tu. Kwa mimi naaona kuwa huyu bado haamini kuwa tanzania corona ipo. Pia anajaribu kujinasua nasua katika nyavu maana serikali aliyokuwa kiongozi wa pili ndio iliyokana, hence nae alikana kuwepo corana tanzania sasa anatafuta namna ya kuepuka kuitwa mnafiki.
Ni humu humu watu walisema kuwa Jiwe alishachanja chanjo ya corona na wewe pia kupitia humu humu unasema alikufa kwa corona, sasa hapo nani anasema ukweli na nani anasema uongo?Nani alisema alikuwa amechanja? Asingeweza kuchanja kwani alikuwa anasema chanjo zina corona. Kusema kafa kwa corona siyo kulazimisha bali ni kusema ukweli.
Ahahahahah, Antimagu ndo wamenijuza, usichukulie siriasi mwamba, ni kwamba, korona ya media sio korona halisi, ndicho nilichomaanishaSasa waanza uzushi.
Hizi taarifa za vifo vya Covid-19 watu milioni 36 umezitoa wapi?
Picha kutoka Uhindi wiki hii. Kweli, si milioni.Sasa waanza uzushi.
Hizi taarifa za vifo vya Covid-19 watu milioni 36 umezitoa wapi?
Nakushukuru sana kwa "kuengage", napenda discussions aina hii.Nilimsifia Magufuli kwa mambo matatu [kuhusu corona].
1. Consistency [bila kujali matokeo].
2. Kutenda kama alivyokuwa akisema.
3. Kutokuwafungia watu ndani [‘rockdown’].
CHADEMA, Zitto, na wenzao niliwazodoa kwa kutokuyatenda waliyokuwa wanayahubiri hususan mitandaoni.
Hao jamaa zako walikuwa wanachonga madomo yao ili wajipatie pointi za kisiasa tu.
Tundu Lissu alirudi nchini kavaa barakoa. Baada ya kutoka tu uwanja wa ndege akaivua na kuitupilia mbali hiyo barakoa!
Uongo?
Tokea hapo, akiwa Tanzania sikumwona tena akiwa amevaa barakoa wala kuzingatia tahadhari zingine kama kuepuka misongamano.
Alizurura nchi nzima akipiga kampeni zake za urais bila kuvaa barakoa! Hakuepuka misongamano. Alishikana mikono na watu.
Waone hapa Tundu Lissu, Zitto Kabwe, na huyo aitwaye au ajiitaye Shangazi [Fatma Karume] wakiwa kwenye mkutano wa ACT.
Hakuna cha barakoa. Hakuna kuachiana nafasi. Hakuna kutokushikana mikono. Hakuna kutokukumbatiana.
Hao ndo watu waliokuwa mstari wa mbele kumnanga Rais Magufuli kwa kuipuuzia corona ilhali wao wenyewe hawachukui hata hizo tahadhari za msingi za kujikinga.
Sasa nije kwa huyu Rais Samia.
Keshasema kuwa keshaunda sijui ni kamati ile au sijui ni tume na alituambia ishaanza kufanya kazi.
Kama anakubali kuwa corona ipo kiasi mpaka cha kuiundia tume, inakuwaje sasa yeye mwenyewe kama kiongozi wa nchi asionyeshe mfano kwa matendo katika walau uzingatiaji wa zile tahadhari tu za msingi kama kuvaa barakoa na kuepuka misongamano na mirundikano ya watu?
Wewe huoni kama matendo yake hayaendani na maneno yake kama ilivyokuwa kwa hao rafiki zako wa CHADEMA?
Kwa mara kwanza mimi nimemwona kavaa barakoa alipoenda Uganda ile majuzi. Aliporudi akaitupilia mbali na sijamwona tena akiwa kaivaa.
Nimeona sehemu kuwa ataenda Kenya hivi karibuni. Akiwa huko nadhani ataivaa tena.
Mpende Magufuli au umchukie, jambo ambalo huwezi kusema ni maneno yake hayakuendana na matendo yake, ni hili la corona.
Rais Samia na hao rafiki zako wa CHADEMA, matendo yao na maneno yao kuhusu corona, hayaendani!
NB: Kuhusu Magufuli kuwazodoa waliokuwa wanavaa barakoa, ukweli ni kwamba nilisema, na siyo mara moja, kwamba anakosea. He was mask-shaming people. I called him out on it numerous times. Fact.
Don’t half-step when you come at me. Come correct, lest I’ll leave you in the dirt.
Namsifia kwa sababu walau nilijua kuwa msimamo wake wa maneno unaendana na matendo yake.Nakushukuru sana kwa "kuengage", napenda discussions aina hii.
Ni kweli Magufuli alikuwa consistent BILA KUJALI MATOKEO, katika yale aliyoamini, kama vile Hitler alivyokuwa consistent, to the destructive conclusion: I FOLLOW MY COURSE WITH THE PRECISION AND SECURITY OF A SLEEPWALKER - msemo wa Hitler. Sasa unamsifia vipi kwa consistence ya aina hiyo?
Katika kuzodoa wavaa Barakoa, Magufuli alikuwa pia consistent with himself, na kuwaacha Solemba the likes of you na Mwanakijiji. Magufuli hakutarajia any criticism, alitarajia kusifiwa na kuabudiwa, ndio maana effectively alipiga marufuku vyama vya upinzani, no free press, na ku convert chama cha Mapinduzi kuwa chama cha Magufuli.
Unasadiki!Kwa hiyo kama ulijiunga na club ya akina polepole na Ndugai, how INCONSISTENT of you kumkosoa asiyekosea?
Okay. Unarudia tayari ambacho nimeshakisema!Magufuli alikuwa very consistent katika sera zake kuhusu korona. Kudisdain scientific approach kwa ujumla, akijitengenezea IMANI KALI ambayo yeye mwenyewe ndio Askofu, alidiriki kuwalecture Maaskofu na mashehe, ambao mwanzoni, kipindi Kardinali Pengo akiwa madarakani, alifaulu sana kuwayumbisha. No more kipindi cha akina Ruwaichi na Katibu Mkuu wa TEC Dr. Kitima. Kumbuka mtangulizi wa Dr. Kitima alifurushwa kwa kile kibao maarufu cha URAIA.
How?Asiyekuwa consistent ni wewe mwenyewe.
🤣🤣🤣Kuhusu CHADEMA, "rafiki zangu" walidhihirisha kwa vitendo kwa kujitenga na Bunge kwa muda tayari kwa any consequences.
What the hell is your point here?Wala hawakuhubiri lockdown, ambayo haijawahi kutokea Tanzania. Pale mwanzo serikali ilikuwa na taratibu nzuri sana: abiria kukaa kwenye siti tu, Barakoa, kunawa. Kwamba kuna wakati hawavai Barakoa, siyo ishu. Ishu ni serikali kutimiza wajibu wake kama walivyofanya phase one. Serikali kuhiimiza uvaaji Barakoa is very powerful AND Effective. Mbona hata Biden kuna wakati anavaa Barakoa na kuna wakati havai?
Kwamba Samia ni mwanasiasa mzuri? Sidhani…but, the jury is still out so we shall see.Samia. Ni Politician mzuri. Hadhira yake sasa ni wanaccm. Baada ya kuukwaa uenyekiti, ataanza kuassert msimamo wake, hopefully as we go along. Tumpe muda. She is intelligent, sio kama Magu, for sure. Tutajadili kuhusu hiyo tume baadae.
Karibu!