Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣🤣, China ana jeshi la kila aina.China Duck Defense Force 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣, China ana jeshi la kila aina.China Duck Defense Force 😃
mwanakijiji hawezi fanya huo ujinga wakati mazao yake yanateketezwa na nzige
Suala la kupambana na magonjwa majanga, ujasusi wenzetu wanatumia kila kinachowezekana, wanaweza kutumia ndege kama mwewe, kunguru kufanya upelelezi hata Ikulu ya nchi nyie mtaona kama ni ndege wanazurura lakini siyo hivyoMkuu umesema wanaajiri bata, hivyo bata wakimaliza kazi watalipwa mshahara? 😀😀😀
Noma sana!China Duck Defense Force 😃
Mkuu sasa waiteje wakati ni jeshi. Kuna majeshi ya kila namnaDah! Ati jeshi la Bata😂😂 hivi kulikuwa hakuna kiswahili chengine cha kutumia isipokuwa hichi Cha kuchekesha..?
Hivi nzige si kama senene tu sasa nashauri kama wakija huku kwetu tutawaachia wahaya, haiwezekani sisi wengine tuingilie ugomvi usiotuhusu wakati wahusika wapo.