Mapambano dhidi ya nzige: China yaandaa jeshi la bata laki moja (100,000) kukabiliana na nzige Bilioni 4

Watoe tamko kwamba Nzige wanaongeza nguvu za kiume.. baada ya week wafanyabiashara wakubwa watakuwa wanabeba makontena ya nzige na kupeleka Dar.. Baada ya mwezi mmoja nzige watakua bidhaa adimu ambayo inatafutwa na watu wataanza kufuga nzige..
 
Mkuu umesema wanaajiri bata, hivyo bata wakimaliza kazi watalipwa mshahara? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Suala la kupambana na magonjwa majanga, ujasusi wenzetu wanatumia kila kinachowezekana, wanaweza kutumia ndege kama mwewe, kunguru kufanya upelelezi hata Ikulu ya nchi nyie mtaona kama ni ndege wanazurura lakini siyo hivyo
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† China ni noma sana, huku bata wakiwa wanakula na wao watakuwa wanawakaanga hao nzige.
 
Mkuu sasa waiteje wakati ni jeshi. Kuna majeshi ya kila namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…