1. A Critique of the History of Combating Corruption in Tanzania
- It is ironical that the 1967-1985 period was the period of emergency and wide spread corruption. A critical analysis of the reasons for this will show that corruption rose not because of the certain economic developments negatively affecting the performance of the economy, but rather because selfishness of the leaders took advantage of the suffering of the people. Those with power and influence, rather than living simply so that others might simply live exploited to the full the situation. For that reason it was too late for the government in 1982 to declare war on corruption and other forms of bribery. Also the manner of combating corruption was charged with political emotions and ideological apartheid. It is true that number of corruption cases decreased on the average (Maliyamkon & Bagachwa 1990); but this actually drove underground the practice, and so the spirit was still alive!
'Ukweli na Uwazi', lakini sidhani kama aliweza kuitimiza. Tukiweza kuondoa ujinga, tutaweza kuishi ndani ya ukweli na uwazi hivyo kupunguza rushwa kwa asilimia kubwa. La kusikitisha hata baba wa taifa baada ya kutaja ujinga kuwa adui wetu, alitumia huo huo ujinga kututawala na hivyo kuuendeleza.
- Tunachojaribu hapa ni kuelimishana kwa kujumlisha maoni tofauti, kwangu chimbuko la ishu ya rushwa ni sisi wananchi wenyewe wa Tanzania sio viongozi au chama kama wengi tunavyodai, na nimeweka mifano yangu kwamba hili ni taifa lenye wananchi wa ajabu sana na sababu nikaziweka.=Mkandara;537491]Field Masrshall Es,
Unaweza wadanganya wengine lakini sii mimi mkuu wangu...
Unajua kinachotufanya tuwe NDIVYO TULIVYO ni kutokana na kutozungumzia chimbuko la matatizo yetu badala yake tunazungumzia matatizo yenyewe na kuvuta hisia zetu..Na unaweza kuweka majina yoyote yale ila cha msingi ni hoja yenyewe inalenga wapi..
- Nimesema sisi wananchi wa Tanzania ni ajabu sana na hatuna mfano dunia nzima, na mfano mmojawapo ni kwamba Marehemu Ditopile aliua kwa kutumia Bastola, mbele ya public na tena kwa makusudi mazima, lakini akaachiwa kwa dhamana, Mtikila akaamua kutaka kumshitaki ili arudishwe rumande, wakatokea wananchi flani siwajui dini wala zao wala kabila zao, wakadai kwamba Mtikila asiingilie dini ya Ditopile, kwa sababu kitendo chake cha kutaka kufuata sheria kinaingilia dini ya Ditopile, How? Labda unisaidie mkuu, sasa ninasema hivi hivi wananchi wa namna hii unawasaidiaje kuondokana na rushwa? au uongozi mbovu pamoja na ufisadi?Tunakusoma..
Wewe na mtu mwingine yeyote yule anajua fika kwamba Ditopile kapewa dhamana sii kwa sababu ni Muislaam ila kwa sababu ni mtu wenu CCM. hata angekuwa Mkristu au Baniani maadam ni mshikaji wa JK na mwenye wadhifa ndani ya chama hicho asingeweza kukaa ndani..Iwe Mwadosya, Kingunge, Masha au Lowassa.. wote hawa wanapewa kinga na chama chako..That's the bottom line.
- Nimesema waliomtishia Mtikila sijui dini wala kabila zao, kwa hiyo hapa mkuu haya hayanihusu.Sasa unapozungumzia waislaam ambao walisimama for Ditopile kumbuka hata aliyeuawa ni Muislaam. Wapo waislaam na Wakristu waliopingana/waliounga mkono na dhamana ile. Hakimu aliyetoa dhamana sii Muislaam wala Prosecutor wake na haikuwa sababu hata kidogo.. Hivyo kitu cha kulaumu kwa pamoja ni mfumo mzima wa sheria nchini ambapo tunawaona viongozi hasa wa CCM wakisimama juu ya sheria..
- Nimesema Masha na Nchimbi, ni another joke ya sisi wananchi wa Tanzania, maana tumelia sana kwamba hatutaki viongozi wazee, tunataka vijana kama hawa ambao wame-prove kwamba ni bora wazee, lakini watch uchaguzi unakuja tutawachagua anyways, halafu tutakuja kulia lia tena kwamba rushwa ni ya viongozi na CCM, hayo mengine yote hayanihusu wala hayahusu hoja yangu mkuu.Katika kesi ya jinai yoyote ile wapo watu watakao kuwa upande wa pili na sii wajinga ila ndivyo sheria inavyojengwa..Till proven Guilty au sio.. hata kama alikusudia kuua ni kazi ya mahakama..
Mkuu wangu hata Mapadre hufanya maovu na kanisa likasimama kuwatetea, hii haina maana wao wajinga ila wanafuata kinga za kanisa lao kutokana na wadhifa wa mhusika. Na hadi itakapo kuwa proven ndipo kanisa humtema mtu huyo. Tumeona kina Lowassa na Rostam wote hawa wakipewa kinga na wapo watu wanamuunga mkono jambo ambalo mimi binafsi siwezi kutumia dini ya mhusika kuonyesha ujinga wa wafuasi wa dini hiyo wala haiwezi kuwa kielelezo cha haki..Ya Masha ya Nchimbi umewazungumzia wao ktk kujenga ukubwa wa matatizo tulokuwa nayo..hivyo kesi yao haihusiani na zile zilizotangulia...
- Kwenye hili Bob, msimamo wangu nauweka wazi kwamba wananchi wanaolilia maneno ya Kadhi leo 2009, hawawezi kabisa kulisaidia taifa lao kwa anything, nikasema hivi hata Iran wenyewe wanaojua sana hayo mambo sasa hawayataki tena, sasa sisi kulikoni? Zingekuwa sheria zetu Tanzania zinafanya kazi ipasavyo sio vibaya ku-extend uungwana kwa kikundi flani katika jamii na sheria za dini yao, lakini wewe unajua kuwa sheria zetu zimetupwa nje, wananchi wenye akili timamu na safi na wanaolijali taifa lao, watalilia sheria za jamhuri kusimamiwa na kutumika sio kudai extention ya sheria za kidini, hawa ni wananchi wasioelewa kitu ndio maana rushwa itashamiri milele na milele, that is my point.Mkuu wangu nawaombeni sana, jaribuni sana kuondokana na swala la ku lebel watu wakati wakidai haki zao hata kama haileti maana kwako..Umezungumzia pia mahakama ya kadhi.. Ni mtazamo wako ambao binafsi sioni kosa wala ubaya wa hoja hiyo kwani hapa Wahindi Masingasinga wamepewa sheria yao kutembea na majambia yao wakati hairuhusiwi kwa mtu asiyekuwa na imani ya dini hiyo..
Nitazidi kusema kama unapingana na mahakama ya kadhi zungumzia vilivyomo ambavyo wewe hukubaliani navyo na sii kutumia jina la dini kupinga..kwani kufanya hivyo unapingana na mtazamo wa diversity..
- That is my point kwamba sisi wananchi ndio chanzo cha rushwa na ufisadi, sio viongozi wala chama chochote cha siasa, samahani sana kwamba hoja zangu zimakukwaza kidini yako yaani Islam, mimi wala sikufika huko na hoja zangu ziko wazi kabisa, lakini pole sana anyways!, siwezi kusema eti Waisilamu ndio wanaturudisha nyuma Tanzania, huo utakuwa ni ubaguzi wa wazi sana, I am not like that mkuu, maana marafiki zangu wengi wa karibu na wewe included ni wa kutoka dini hiyo, ya dini na rushwa hayaingiliani kabisa mkuu.Tupambane na Ufisadi kwa kutazama kiini chake, tusiwe na fdikra kama za viongozi wenyewe ambao hata kupambana na Maleria tu imetushinda wakati wakijua fika kwamba chanzo chake ni mbu kuzaliana ktk madimbwi ya maji yaliyosimama..walichofanya ni kuomba vyandarua na dawa nyingi sana za kutibu Maleria..Watu wanazidi kufa kwa hesabu kubwa kuliko wakati wowote uliopita!
Beside that It's all good!
Ivi tunashindwa kusema kuwa rushwa inatokana na ujinga (ignorance)? kama wewe hujui sheria, polisi hataacha kukusimanga? Kama wewe hujui matumizi ya pesa za umma, wabunge, BOT, rais nk hawataacha kuziiba? Kama wewe hujui kodi katika biashara yako, TRA hawataacha kukusimanga?
Mkapa alikuwa na motto ya 'Ukweli na Uwazi', lakini sidhani kama aliweza kuitimiza. Tukiweza kuondoa ujinga, tutaweza kuishi ndani ya ukweli na uwazi hivyo kupunguza rushwa kwa asilimia kubwa. La kusikitisha hata baba wa taifa baada ya kutaja ujinga kuwa adui wetu, alitumia huo huo ujinga kututawala na hivyo kuuendeleza.
Nani ataung'oa? We're not risk takers Mag3.Kiwango cha rushwa Tanzania kinatisha na mpaka hapo mzizi wa fitina,CCM, utakapong'olewa, juhudi zozote za kuutokomeza ni vigumu kufanikiwa. Hatuwezi kutegemea watu wale wale, uongozi ule ule na nguvu zile zile zituletee matokeo tofauti - hapana, itakuwa ni ujinga mkubwa na tutakuwa tunajidanganya kama tulivyofanya kwa miaka 48. Ni mabadiliko tu yatakayotukwamua - uongozi mpya, fikra mpya na mikakati mipya. Wakati ni sasa.
Heshima mbele wakuu,
Naomba kukaribishwa.
Kwa mawazo yangu ufisadi nchini tanzania hauwezi kwisha kwa sababu taasisi kama Takukuru, DPP, AG etc zote viongozi wake wanateuliwa na Rais na pia wanaripoti kwa Rais, Asa je kama ikitokea swahiba wa Rais au Rais mwenyewe ana hatia unategemea kutakuwa na haki hapo?. Ukisoma katiba utagundua tuna mapungufu makubwa ya usimamizi wa sheria na haki.. Kwa mfano Uk, PM wao mbali ya kuwa Head of state lakini kuna vyombo huru vinavyosimamia utendaji wake.. Ni the same kwa USA, Pakisatn, Iran kuna supreme leader... n.k.. Nadhani katibayetu Tanzania inampa rais majukumu makubwa kiasi kwamba ni rahisi kwake kuingilia utendaji taasisi nyingine huru.
Pili tumeingiza siasa mno ktk kila proffessional.. Ukiangalia utendaji wa idara na taasisi zote za Umma zinaendeshwa kwa kuangalia matakwa ya kisiasa badala ya proffessionalism ya kiongozi husika.. Kwa Mfano, engeneers badala ya kukaa chini wafanye kazi zao za innovations wanaburuzwa na wanasiasa wakidhi matakwa ya kisiasa, ni the same kwa accountants wetu, financial auditors..lol.. Kikubwa ni kuamua kwa pamoja kama nchi na kufanya kazi kwa kuzingatia vipaumbele na rasilimali tulizonazo.
Mungu ibariki Tanzania.
nimejaribu kuwahoji watu wawili watatu juu ya tatizo sugu la rushwa,wamenijibu shortly lakini nimeumiza sana kichwa!wanasema
CORRUPTION IS HUMAN NATURE!tunapishana ile extent
What's next?....au ndo mwisho?
Mtoto, Umegusia kitu muhimu sana.
Ukweli humweka mtu huru kuhoji....... kujitetea.
Uwazi humfanya mtu kujua nini kinaendela.... humfanya mtu ashindwe kufanya vitu ambavyo havikubaliki.
Rushwa huchangiwa na ujinga kama ulivyosema na pia mambo kufanywa kwa kificho.
Corruption= Accountability- Transparecy +Discretion
( C= A-T+D)
Yaani kunapokosekana Uwajibikaji na Uwazi na kukawepo na hali ya mtu kutumia madaraka apendavyo hapo kunakuwepo na rushwa.