Mapambano ya korona: TEC yatangaza kusitisha matumizi ya kwaya kanisani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na #COVID19 kwenye masuala ya ibada

TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada isitumie muda mrefu

Pia mafundisho ya dini kwa watoto na makundi mengine yamesitishwa. Mafundisho yataendelea kwa njia nyingine kama kujisomea katekisimu au njia ya mtandao

Pia kanisa litazingatia umbali wa mtu na mtu wanapokuwa ibadani, matumizi ya vinasa sauti, watanawa mikono kabla ya kuingia kanisani pia watanyunyizia dawa vifaa vya ibada

Makatekista na wanaotoa huduma wataelewesha kuhusu #CoronaVirus na watapewa vifaa vya kujikunga, kufanyia usafi na kunyunyiza

====
 
Attachments

Yaani ibada ya kikristo bila nyimbo?
Sasa hiyo ni ibada au maigizo ya kibagani?
Kwanini wasizuie watu kutoa sadaka, maana virusi vya Corona vinaweza kukaa kwenye karatasi au chuma kwa siku kadhaa?

Waache upuuzi wa kumpangia Mungu namna ya kumuabudu, wanalazimisha watu waende makanisani kumwabudu Mungu wakati Mungu yupo popote na anaweza kuabudiwa popote.

Watu wahimizwe kuabudu majumbani mwao, maana kanisa la kweli huanzia nyumbani na huishia nyumbani.
 
Pamoja na yote kuna binadamu ambao sio waaminifu wanaweza fanya maambukizi kwa makusudi kugusa gusa sehemu hivyo.

Sent using iphone pro max
 
Mwenyezi Mungu atuepushie mbali kadhaa hii ya Corona. Shetani aende nayo Jehanamu akawambukize wenzaje
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na #COVID19 kwenye masuala ya ibada

TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada isitumie muda mrefu

Pia mafundisho ya dini kwa watoto na makundi mengine yamesitishwa. Mafundisho yataendelea kwa njia nyingine kama kujisomea katekisimu au njia ya mtandao

Pia kanisa litazingatia umbali wa mtu na mtu wanapokuwa ibadani, matumizi ya vinasa sauti, watanawa mikono kabla ya kuingia kanisani pia watanyunyizia dawa vifaa vya ibada

Makatekista na wanaotoa huduma wataelewesha kuhusu #CoronaVirus na watapewa vifaa vya kujikunga, kufanyia usafi na kunyunyiza

====
Mi nadhani wangezuia kipengele Cha sadaka kwani NI kirefu kuliko kipengele chochote ibadani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kilichozuiwa si kwa sababu ya kufupisha, bali uwezekano wa maji maji ya mdomoni kurukia waimbaji
 
Mimi naona ibada zingesitishwa kabisa!!
Tutawapoteza hawa waumini tunao wapendwa na gonjwa hili!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani ibada ya kikristo bila nyimbo?
Sasa hiyo ni ibada au maigizo ya kibagani?
Kwanini wasizuie watu kutoa sadaka, maana virusi vya Corona vinaweza kukaa kwenye karatasi au chuma kwa siku kadhaa?

Waache upuuzi wa kumpangia Mungu namna ya kumuabudu, wanalazimisha watu waende makanisani kumwabudu Mungu wakati Mungu yupo popote na anaweza kuabudiwa popote.

Watu wahimizwe kuabudu majumbani mwao, maana kanisa la kweli huanzia nyumbani na huishia nyumbani.
OK
 
Hivi kuna sehemu kanisa linalazimisha watu kwenda kanisani?
Alafu mbona kipengele cha sadaka kimekuuma sana fanya mpango nawe uwe Padre
 
Kusoma katekisimo na sio kusoma Biblia takatifu. Hapa ndiko watu walikopotezwa na kumridhia yule mwanamke kahaba mzinzi-Yezebeli kwa kumpa jina bikira Maria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ushauri unasema ni dakika ngapi (muda gani ni safe kwa hii mikusayiko) ?, yaani nusu saa its okay ila isizidi labda dakika 45 ?, au kwenye hii issue tunaongelea hata micro seconds ikawa ni muda tosha wa covid kufanya yake ?
 
Kusoma katekisimo na sio kusoma Biblia takatifu. Hapa ndiko watu walikopotezwa na kumridhia yule mwanamke kahaba mzinzi-Yezebeli kwa kumpa jina bikira Maria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio katekisimu ni badala ya kusoma biblia wao husoma PAMBAZUKO KUU!
Hapa ndipo walikopotezwa na kumridhia yule mwanamke kahaba mzinzi-Yezebeli kwa kumpa jina HELLEN G WHITE!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom