YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kuabudu ni swala binafsi uko huru kusali au kutosali.Ukiona wewe ukienda kusali utapata corona usiendeSerikali inasita kabisa kuzuia ibada zote makanisani na misikitini,sijui shida ninini, Vatican washasitisha na hadi huko Macca, sijui shida iko wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali inahusikaje na kitu ulicho na Uhuru nacho .Kuabudu hiari huendi kwa amri ya serikali no hiari yako Pima mwenyewe uende au usiende sio issue ya serikali