Mapambano ya ngumi usiku mwingi sio sawa Tanzania

Mapambano ya ngumi usiku mwingi sio sawa Tanzania

Daah! Usingizi bhana, Mm sikuelewa Basi, maana nilisikia Kama katangazwa Dulla, nikasonya. Mwakinyo naona alikuwa anamfagilia Sana Dulla.
Daah! Usingizi bhana, Mm sikuelewa Basi, maana nilisikia Kama katangazwa Dulla, nikasonya. Mwakinyo naona alikuwa anamfagilia Sana Dulla.
Pole sana mkuu..
Mwakinyo aliingia na matokeo yke, hata hivyo mwakinyo hajawah mkubali twaha kiduku, ndio maana jana mara aseme'' oooh mm ningekuwa judge ningeweka sare'' Wakat dullah mwenyewe amekiri kwl amepigwa na atajipanga next fight
 
Ni ujinga mtupu mwaikinyo juzi sikumuangalia kwasababu nilishindwa kuuvumilia ujinga huu..
Na Jana kidogo nilale bila kuwaona akina kiduku..yaani nachukia Sana..yaani wanapigana Tanzania alafu tukeshe kuwasubili.. next time..pambano likifika saa nne kamili usiku halijaanza nalala siwezi kuvumilia ujinga na ushamba!
Wanaotumia solar charger jijini wanapata hasara kulipia ving'amuzi, solar zao nyingi hazina uwezo wa kukesha hadi saa 10
 
Back
Top Bottom