Haongelei wanawake bila shaka.
Nadra sana mwanamke umfanyie vyote hivyo. Na asikupee.
Turud kwako Shemej
To yeye
Vijana weng currently wenye age 23-30 na ambao hawana ujuzi
Wala Elimu. Wao wakijiona handsome na wakajua kuvaa na kuwa machawa wa maboss. Weng kwa tamaa za kuharakisha mafanikio ya maisha na kuiga Maisha ya wenzao ambao wako vizur kimaisha. weng wao wanageuzwa.
Nimekaa Kinondon Stereo miaka 2 na Sinza Africasana miaka 4.
Nimeona.
Vijana . Maisha sio marahisi. Panga mitikas yako, Fanya juhud na wakat wako utafika.