Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Unatoa ushuhuda walivyokutendea ?
Vijana mnakwisha kwa kuendekeza tamaa
Uchafu uozo wa waziba masikio!Sijaelewa, kipi kinazungumziwa hapa?
naunga mguu hoja, wewe kama mimi nakulaga vya bure tu kutoa hela nipate penzi siweziKatika mambo ambayo siwezi ni kutoa hela ili kupewa mzigo, bora nikae na hata miaka kama hatotokea wa kunipea bure.. Hela inauma aisee.... chee yani kula tu huwa najifikiria mala mbili mbili kisa nahitajika kulipia