SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Na ndiyo maana watu wanataka mabadiliko,vijana wengi mnaomsupport Rais wa Malawi,mmekuwa mkitumia pesa vibaya na kibaya zaidi kuharibu future za watoto wa watu na wazazi wao.Anasa imezidi ingali wengine kutupatia haki yetu ni mpaka tuwarambe miguu.Not fair kiukweli
Sawa, nimekuelewa mkuuHaongelei wanawake bila shaka.
Nadra sana mwanamke umfanyie vyote hivyo. Na asikupee.
Turud kwako Shemej To yeye
Vijana weng currently wenye age 23-30 na ambao hawana ujuzi
Wala Elimu. Wao wakijiona handsome na wakajua kuvaa na kuwa machawa wa maboss. Weng kwa tamaa za kuharakisha mafanikio ya maisha na kuiga Maisha ya wenzao ambao wako vizur kimaisha. weng wao wanageuzwa.
Nimekaa Kinondon Stereo miaka 2 na Sinza Africasana miaka 4.
Nimeona.
Vijana . Maisha sio marahisi. Panga mitikas yako, Fanya juhud na wakat wako utafika.
Mleta mada amevuta unga, kumuelewa inabidi utulize akili, anyway anazungumzia mitalo ya maji taka mitaani.Sijaelewa, kipi kinazungumziwa hapa?
Dah!,wengine tunataman huo msimamo lakin nyege zinatuzid nguvuKatika mambo ambayo siwezi ni kutoa hela ili kupewa mzigo, bora nikae na hata miaka kama hatotokea wa kunipea bure.. Hela inauma aisee.... chee yani kula tu huwa najifikiria mala mbili mbili kisa nahitajika kulipia
Hajui utamu wa wavaa modo. Dogo anakutegemea mpaka KodiDah!,wengine tunataman huo msimamo lakin nyege zinatuzid nguvu
Pole mkuu. Nyege noma, ilq hela ni tamu sana hata kukaa nayo unasikia ka amani ndaniDah!,wengine tunataman huo msimamo lakin nyege zinatuzid nguvu