Mapatano ya kukaa mezani kila ukiharibu na kufanya maovu ni kama kuwachukulia wajinga

Mapatano ya kukaa mezani kila ukiharibu na kufanya maovu ni kama kuwachukulia wajinga

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tokea kipindi cha mkapa mpaka leo tumekuwa kuwa ni watulivu na wastaimivu ambayo upande wapili ni kwamba hawa watu ni wajinga na waoga.

Leo nimekumbuka kipindi cha uchaguzi visiwani znz Marehemu Seif Sharif aliposhinda ilawale ccm wakataaa kukubari wazi mpaka walipo kuja kubembeleza mzee kukubari kuwatuliza wafuasi.

Jecha na zakaria TFF hawana tofauti kupindua meza.
 
Back
Top Bottom