Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

estimates nazo zinakupa shida pia?
Estimate hazikuwepo, kulikuwa na speculation na innumeracy.

A lot of Tanzanians are illiterates and innumerates.

Mimi ndiye niliyeziweka estimates kusema it is improbable for about a third of Amazon renters to rent this video in a year.

Nimeuliza, Amazon ina wakodiji milioni 157, kwa mujibu wa data za hapa.

Sasa, unafikiri takriban kati ya kila wakodiji watatu, mmoja atakodi hiyo video?

Unaelewa Amazon kuna video ngapi?

Hiyo figure ya 100 million mnaipata wapi?

Au hizi ndiyo kama zile habari za ukulima wa Excel spreadsheet?

Mbona mnajipa umuhimu mkubwa sana ambao hamna?
 
Naona bado hujaelewa kabisa
 
Naona bado hujaelewa kabisa
Sijaelewa nini?

Hujajibu hoja yangu, hata hujanieleza sijaelewa nini.

Nitajuaje kwamba kweli sijaelewa na si wewe unayekwepa kujibu hoja zangu tu?

Unaelewa kwamba kumwambia mtu "Naona bado hujaelewa" bila kuonesha hajaelewa wapi mchambue hoja ni ujinga tu?
 
Tumepigwa na kitu kizito kichwani....
 
Pongezi kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Hakika amefanya jambo kubwa utadhani kakaa madarakani miaka 5!!

Wenye wivu na chuki sasa wana harisha kwa uchungu.
 
We need to have the account opened and CAG must be given the power to monitor. Nchi ina mambo mengi sana na ni ngumu kweli kweli
 
Hii ni bonge la dili ever,
 
Mayai hayajaanguliwa tayari umeshaanza hesabu za vifaraga, kuku watakaokuja kutaga mayai, na pesa utakayopata baada ya kuyauza hayo mayai na pia utakazopata baada ya kuwauza hao kuku wakishaacha kutaga mayai. Je, wazifahamu ndoto za Alinacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…