Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

Daaah
 
Ahsante sana kwa kutuhabarisha Nitanunua leo niitazame niliingizie Taifa letu pesa, Hongera sana Mama Samia kwa ubunifu ulio makini!
 
Mayai hayajaanguliwa tayari umeshaanza hesabu za vifaraga, kuku watakaokuja kutaga mayai, na pesa utakayopata baada ya kuyauza hayo mayai na pia utakazopata baada ya kuwauza hao kuku wakishaacha kutaga mayai. Je, wazifahamu ndoto za Alinacha?
😀😀Nimecheka kwa sauti
 
Acha kuleta hesabu za makaratasi kama za kilimo cha tikiti
 
Kwenye matikiti pia tunalimishana hivi.

Unasema tumeigharamia wakati Msigwa kashasema hela ya Filamu sio yetu, ni msaada.

Hata hivyo ukweli utajulikana muda ukifika
 
Kwenye matikiti pia tunalimishana hivi.

Unasema tumeigharamia wakati Msigwa kashasema hela ya Filamu sio yetu, ni msaada.

Hata hivyo ukweli utajulikana muda ukifika
Soma vizuri sasa, rudia tena
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Unataka hesabu gani sasa?
Hizo hesabu unazopiga ww ni dhahania kama ya kwenye biashara ya kwamba nikifungua biashara hii katika katika kila watu 1000 watakaopita 20 watanunua, kumbee unakuta wananunua watu wanne tu. Nilidhan unaleta mapato yaliyotengenezwa kumbe unaleta mfano wa hesabu za kuzidisha. Hiyo ni kama biasharA either imake loss or profit
 
Sasa uhalisia ni nini?
 
Next time tumwalike yule jamaa wa ze godi mastI be crazy, akimbie uchi tutauza mno
 
Wazungu wanapenda adventure hii muvi na jotty angeshiriki ingekuwa poa,
 
Wakazi wa Arusha ni viunga vyake hii si ya kukosa, 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…