Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
Wakuu I salute you kinsmen

Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full

Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house.

Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu maana
Mapato yaliyopatikana ni shilingi 3000 tena nadhani hiyo buku tatu wameongea ni shilingi 2000 kama buku jero.

Kwahiyo kumbe ule ulikuwa unafki tu?
Mashabiki hawana pesa wanakabwa kila sehemu na tajiri mudi
Fine walipe wao

Mchango wa uwanja walilipa wao tajiri akala!

Na bado hata kwa mechi mbovu ya jana bado tickets wanalipishwa maskini yaani imekuwa ni utapeli

Kanji yeye hagusi mzigo wake fine mazuzu mtalipa na tickets mtanunua so jana mashabiki wakagoma wakaona juu sasa utahira hawajaja..!

Matokeo wakaja watu hata kumi hawafiki na kuishia kujambia viti tu na kuvichafua..!

Kwahiyo kwa sasa tumeshajua kuwa nao ni mashabiki plastic tu yaani plastic fans tu hao hakuna lolote lile ..

Hivi kweli mechi muhimu kama hiyo unalazimisha watu walipe na juzi tu wametoka kuwalipia fine yenu??

Matokeo wakasusa sasa hawajaja si bora mngefanya bure tu ieleweke moja?

Acheni ushamba wanasimba
Sidhani kama hawa wanasimba wamewahi hata kuingia uwanjani
TAI DUME Tui Hawa ni plastic fan wenyewe jana sjjawaona uwanjani.

Lupweko huyu aliko mpimbwe ndani ndani mpaka auze mtama ndio aje dar ni plastic fan

Its Pancho
1761491033903.jpg
1761491025217.jpg
 
Tafdhali fatilia nukuu hapo chini.

1. CAF: " Simba SC ina mashabiki bora Afrika"
2. SIMBA: "Mashabiki nunueni jezi og na lipeni viingilio ikiwa na sehemu ya wajibu wenu"
2. YANGA: " Wanautopolo njoeni tu uwanjani mtaingia bure tutawapa na maji ya kunywa coz hamna hela."
3. MASHABIKI WA UTOPOLO: "Tunataka na pilau kabla ya kuingia na supu tukitoka uwanjani, na nauli"
4. HERSI: "Sawa nawaelewa nyie mnaoshindia mihogo, mna njaa sana"
5. GALIBU: "Hesi hayo mapoyoyo nenda nayo ivi ivo watakaposhtuka timu tumeshaifilisi"
 
5. Timu inafilisiwa vipi? Maana wao wamewekeza yao wanapata faida zao, kama wakiondoka wakaiacha itatembeza bakuli ama watapata mdhamini mwingine. Ikiwa Yanga inafilisiwa bila malalamiko, vipi 6imba ambao hadi sasa wanadaiwa bilioni 90 na Mo?
 
Mashabiki wa simba watabakia kuwa mbumbumbu milele! Kwa ule mpira waliocheza wachezaji wao jana, hata kiingilio kingekuwa ni 500! nisingeingia! Ule ni wizi wa wazi kabisa! Mbaya zaidi hata zile hela za rushwa eti walikosa!
 
Back
Top Bottom