Mapato ya utalii Kenya yaongezeka kwa asilimia 31.2%

The ratio is 1:3 therefore the revenues in Tanzania will hit 3× Kshs 119 bln! Mark my words!
Hakuna mambo na ratio. Sisi tulikuwa tumechapwa na Shababi saa hii ndio tunarecover. Tumerudi kuchukua position yetu ya nambari one. Nyinyi mlikuwa mnashikilia hio nafasi kwa muda tu.
 
Hakuna mambo na ratio. Sisi tulikuwa tumechapwa na Shababi saa hii ndio tunarecover. Tumerudi kuchukua position yetu ya nambari one. Nyinyi mlikuwa mnashikilia hio nafasi kwa muda tu.
Hata kabla hamjawahi kuwa na mapato zaidi yetu! Pretty sure tourism revenues is above $2.5 bln mark!
 
Hakuna mambo na ratio. Sisi tulikuwa tumechapwa na Shababi saa hii ndio tunarecover. Tumerudi kuchukua position yetu ya nambari one. Nyinyi mlikuwa mnashikilia hio nafasi kwa muda tu.
Year on Year (October, 2018) ni 2.4 bln$ kwa Tanzania.(BOT, MER Nov/2018)
 

Watanzania hupitia mateso sana kwa ajili ya Kenya, yaani huwa hawaelewi kwanini wameshindwa kutufikia, hamna kitu hutamausha kama kushindana na mtu ambaye kila siku unajiaminisha utamshinda lakini anaendelea kuongeza pengo na kukuacha mbali.
 
Hakuna mambo na ratio. Sisi tulikuwa tumechapwa na Shababi saa hii ndio tunarecover. Tumerudi kuchukua position yetu ya nambari one. Nyinyi mlikuwa mnashikilia hio nafasi kwa muda tu.

Yaani noma sana, kwa kweli Mkenya ni balaa, tunaanguka hadi sakafuni na kunyanyuka na kuendelea na mapambano, Tanzania walishindwa hata kutukaribia kipindi uchumi wetu ulikua unatetereka kwenye 4% sasa leo hii tunapiga 6% yaani ndio kwaheri kabisa, pengo linazidi kuongezeka.
 
Mlichobaki nacho ni makelele ya pengo kuongezeka wakati hali halisi nchi inazidi kufilisika, madeni yanaongezeka, budget deficit inaongezeka, inflation is the highest, wananchi wanazidi kukamuliwa kwa kodi hadi mnasema punda amechoka.

mnalazimika kupitia upya katiba kwa matumaini ya kupunguza mzigo, exports zinaongezeka na imports zinapungua, IMF inanyenyua bendera nyekundu, Moody inawashusha daraja katika viwango vya kuaminika kupewa mikopo ambayo kwa sasa ndiyo inayoendesha uchumi wa Kenya, endeleeni kushikilia gap kuongezeka wakati hamtuwezi kwa lolote zaidi ya kiingereza na ukabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kabla hamjawahi kuwa na mapato zaidi yetu! Pretty sure tourism revenues is above $2.5 bln mark!
Maoni yako ni gani kuhusu uchumi wa Kenya kupanuka kwa kiwango cha 6% in 2018 Geza?
 
Maoni yako ni gani kuhusu uchumi wa Kenya kupanuka kwa kiwango cha 6% in 2018 Joto la jiwe?
 
Maoni yako ni gani kuhusu uchumi wa Kenya kupanuka kwa kiwango cha 6% in 2018 Joto la jiwe?
Kwa ujumla ni kitu kizuri kwa Kenya, ila kumbuka kwamba hiyo ni robo tatu moja tu kati ya nne, inategemeana na robo tatu zingine ili kupata wastani ambao ndio utakua ni ukuaji wa uchumi wa mwaka mzima, katika hiyo robo tatu ambayo Kenya uchumi umekua kwa 6%, Rwanda umekua kwa 10%, lakini wanategemea uchumi wa Rwanda kukua kwa 7% mwaka 2018 kwa ujumla.

Kama ambavyo David Ndii anavyosema kila Mara, Uchumi wa Kenya upo very "Volatile" kutokana na makosa yaliyofanywa na waanzilishi wa Taifa la Kenya. Walipaswa kuanza kujenga misingi imara ya nchi ili kuweka mazingira mazuri ya Uchumi endelevu. Nchi haiwezi kuwa endekevi kama hakuna Umoja na mshikamano wa kitaifa"(Social cohesion), Umoja, upendo na Amani, haki na Usawa, vikiwepo hivi ndio vinazalisha UTU.

Nyerere alitumia muda mrefu sana kujenga misingi imara ya Tanzania, aliamini kwamba, bila kujenga Taifa lenye kujali UTU zaidi kuliko kujali KITU, haitowezekana kujenga Uchumi endekevu. Hili linajidhihirisha sana huko Kenya, huu ukuaji wa uchumi wa Kenya sio endelevu kwasababu kila baada ya miaka mitano lazima unashuka kutokana na athari za uchaguzi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is your opinion about Kenya growing at 6% in 2018 Kobello?
You borrowed almost 8bn$ in 2018, and raised your GDP by 6%. That means, you borrowed 10% of your GDP just to raise it up by 6%.
Tanzania borrowed 2bn$ in 2018 and raised her GDP by 7%. Meaning, we borrowed 4% of our GDP and raised it by 7%.

I think you guys are lazy, if not stupid. Stop borrowing, and use your brains and muscles to build your Nation.
 
Hii ndio habar nilikua nataka kuiskia ...Bado hampo serious kwenye utalii...watalii 2m mnakosaje mapato ya $5bln

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How you can compare the borrowing vis a vis economic growth for both countries is really puzzling.

You don't seem to understand that your economy is relatively small compared to ours. Therefore a growth of 7% for a 50B USD economy (TZ) can never be compared with that of 6% for a 88B USD economy, notwithstanding the borrowing.

BTW by the end of 2018 the Kenyan economy was estimated to be around 89.54B USD, with a little variance between IMF estimates and KNBS estimates.
 
Hii ndio habar nilikua nataka kuiskia ...Bado hampo serious kwenye utalii...watalii 2m mnakosaje mapato ya $5bln

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe! Nyie mna vivutio bora kuliko nchi zote Africa yote, yaani kwanza kwenu ni muungano wa nchi mbili, moja ikiwa kisiwa cha utalii mtupu lakini kwa watalii 1.3m huwa mnachezea $2b, leo hii unadiriki kutushangaa badala mjihurumie kwanza.....full uzembe.
 
Nikubali kwanza,lakin mjitizame sana watalii hao wamekuja kufanya nn kama pesa ndio izo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikubali kwanza,lakin mjitizame sana watalii hao wamekuja kufanya nn kama pesa ndio izo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatupo very expensive kwenye vivutio vyetu maana sio bora kama hivyo huko, tunawahitaji waje wengi ili hela zao wazitumie kwenye mambo mengine mengi tu ambayo hayawi tracked na wizara.
 
Mimi pia mchumi, nafahamu haya mambo sana. Hio 6% ni ya 3rd quarter.1st quarter tulikuwa kwa kiwango cha 5.7%, 2nd quarter tukawa kwa 6.3%. Kwa hivyo for 3 quarters tumepata average growth rate ya (5.7% + 6.3% + 6.0%)/3 = 6.0 %.
Yaani kwa robo tatu sasa average growth rate ni 6%. 4th quarter bado hatuna data, hadi Aprili ndio tutapata data ya 4th quarter. Kwa hivyo kwa ujumla huu mwaka Kuanzia January hadi September, uchumi umekuwa kwa 6%.
Kwa mambo ya umoja wa taifa, hio ni ngumu sisi kubadilisha mienendo kwani tulianza vibaya na itachukuwa muda sisi kujirekebisha. Nina imani kuna siku Corruption na tribalism pia zitaisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…