Mlichobaki nacho ni makelele ya pengo kuongezeka wakati hali halisi nchi inazidi kufilisika, madeni yanaongezeka, budget deficit inaongezeka, inflation is the highest, wananchi wan.azidi kukamuliwa kwa kodi hadi mnasema punda amechoka.
mnalazimika kupitia upya katiba kwa matumaini ya kupunguza mzigo, exports zinaongezeka na imports zinapungua, IMF inanyenyua bendera nyekundu, Moody inawashusha daraja katika viwango vya kuaminika kupewa mikopo ambayo kwa sasa ndiyo inayoendesha uchumi wa Kenya, endeleeni kushikilia gap kuongezeka wakati hamtuwezi kwa lolote zaidi ya kiingereza na ukabila.
Sent using
Jamii Forums mobile app