Mapato ya utalii Kenya yaongezeka kwa asilimia 31.2%

Ulikuwa unataka exports zipungie alafu tuzidi ku-import zaidi? Kilaza ni kilaza tu hata apewe access ya internet.
 
Ulikuwa unataka exports zipungie alafu tuzidi ku-import zaidi? Kilaza ni kilaza tu hata apewe access ya internet.
Hahahahaha, hamuwezi kuwa na exports nyingi zaidi ya imports ninyi, mumebaki kusubiri makosa ya uandishi ili kupata points, mumeishiwa nyang'au ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha, hamuwezi kuwa na exports nyingi zaidi ya imports ninyi, mumebaki kusubiri makosa ya uandishi ili kupata points, mumeishiwa nyang'au ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unajikanganya mkuu ama ni kwa ile hali yako ya kupinga kila kitu unajipata hujielewi? Hivi nyinyi import zenu nyingi kuliko exports ama nimedanganya? Tena hebu niambie kama ni Kweli drimulaina inasafirisha nyama from Arusha to Mwanza 😀😀
 
That's why I used percentages. I know I'll confuse (puzzle) people like you.
Unfortunately you were not the target.
 
Wewe akili yako ni ndogo sio rahisi kujua mambo makubwa kama haya, fuatilia kitu kinachoitwa balance of trade kati ya Kenya na Tanzania, wakati deficit ya Tanzania inazidi kupungua, Kenya gap linazidi kuwa kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudanganya .How can your deficit decline while your exports were fewer than that of Kenya in 2018? Kenya exports increased in the last [emoji286] .so did remittances
Ninarudia tena, wewe huna akili ya kuchangia mada kubwa kama hizi, ngoja nikupe shule kidogo, tunaposema balance of trade ya nchi, hatulinganishi na nchi nyengine, tunaangalia nchi hiyo hiyo moja kwamba imeuza kiasi gani nje ya nchi na imanunua kiasi gani toka nje ya nchi(exports - imports).

Kenya Exports zenu ni around $5.5B, wakati imports zenu ni $14B, wakati Tanzania Exports ni $5B na imports ni $11B. Tafadhali Sana kabla hujachangia, uwe unajielimisha na basics za mada husika, tutachoka kukuelimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe akili yako ni ndogo sio rahisi kujua mambo makubwa kama haya, fuatilia kitu kinachoitwa balance of trade kati ya Kenya na Tanzania, wakati deficit ya Tanzania inazidi kupungua, Kenya gap linazidi kuwa kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Please anytime you are coughing make sure you block your ingress, don't spit what's not needed here. I know hata hujui chenye umesema, wewe bora mdomo umepanuka alafu sauti itoke and that's all.So according to this data, tell me which country is doing worse economic wise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi si exports to Uganda au ..unataka kusema kwa mwaka nyie mna export USD 628mil alfu Tz USD 46mil ..wakati sisi exports zetu to SaDC Zimefika USD 450mil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Members wa UK royal family nao walikua kule Lamu (next to Somalia)

Lakini kinachofanyika zaidi ni hao Local tourists! Wakenya tuzidi kutembea nchi yetu na Ku enjoy tulichobarikiwa nacho
 
Kama Sisi ni wajinga na wapumbavu na wasio na mpango ...na mnajaribu kukimbizana na Sisi Kwa kila sector ... Sasa nyinyi mnaokimbiza wajinga,wapumbavu....si ni pumbu limbukeni kabisa!
Licha ya hayo mliyoyataja yote, bado Kenya iko mbele yenu! Kumaanisha nyinyi ni mazube kabisa!!!! Yani hakuna tofauti kama Tz yote ingekua ni manyani yansishi, mwanzo hata GDP ya Tz ingekua kubwa kama ingekua ni manyani!
L
 
Kafrican of late Wakenya wamegundua kutembea sehemu mbali mbali Kenya during the weekends, holidays na pia kutazama michezo mbali mbali kama vile Sevens na kadanda haswa juu ya good infrastracture kama vile Marsabit na Moyale .
 
Kuna watu wengi sikuhizi wanabook SGR Friday kwenda Mombasa na kujivinjari na hukaa haswa Kwa BnBs alafu wanarudi Sunday mpaka imesababisha KRA iongeze sgr coaches kila weekend ..... Infrastructure imesaidia Sana, I hope Ile resort city ya Katikati ya lake turkana pia itajengwa na pia kuna Ile ya Isiolo Hilo eneo la north ni unexplored kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…