Mapato ya utalii Kenya yaongezeka kwa asilimia 31.2%

Mapato ya utalii Kenya yaongezeka kwa asilimia 31.2%

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Watalii wanaendelea kuongezeka pamoja na kwamba hatuna vivutio vingi vya utalii lakini jitihada na bidii ya wadau zinalipa.
--------------------------------------------------------
The number of international tourists that visited Kenya in 2018 rose to 2,025,206 from the 1,474,671 in 2017, Tourism Cabinet Secretary Najib Balala has revealed.

Speaking at State House, Mombasa on Monday, the CS added that this was a 37.33% rise, further stating that this had consequently led to an increase in the country’s earnings.

According to CS Balala, Kenya earned Ksh.157 billion in tourism earnings last year; a 31.2% increase from the Ksh.119 billion in 2017.

He further noted an increase in the number of local tourists from 3,645,243 in 2017 to 3,974,243 last year.

The CS spoke when presenting the report to President Uhuru Kenyatta, after which they proceeded to launch the Ksh.460 million Mama Ngina Drive regeneration project.

The President, during the launch, commended the growth of the tourism sector, saying it would not have been possible to achieve without security and political stability.

“This is a clear sign that the tourism sector is back on track and that means more employment opportunities for our young people, our farmers and our small scale traders,” he said.

“For development to be achieved, there must be political stability. We cannot engage in endless politics and expect to develop the country.”

https://citizentv.co.ke/news/kenya-...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
 
The ratio is 1:3 therefore the revenues in Tanzania will hit 3× Kshs 119 bln! Mark my words!
 
Hahahahaha, kuwa makini usijekupata premature abortion, kama huko tumefika laki mbili, ina maana huku kwetu local tourists tunakaribia 8M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu niliona ukisema Tanzanians are richer than Kenyans kwa sababu mpo nambari ya pili baada ya marekani kwa watalii. Eti bila nyinyi utalii wetu umekufa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kaa chini nikupashe.
Sorry ni $2.3B

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania mpo nambari ya pili kwa watalii kutoka NJE ya nchi.Taarifa inaendelea na kusema "local tourism grew from 3.3 milion to 3.8milion" Local tourists ndio sisi waKenya. Sasa hiyo laki yenu mbili mnaweza linganisha na watalii waKenya milioni nne? [emoji23][emoji23]

Tumia Ubongo. Ama ni kinyesi umejaza kichwani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1139]
 
Alafu niliona ukisema Tanzanians are richer than Kenyans kwa sababu mpo nambari ya pili baada ya marekani kwa watalii. Eti bila nyinyi utalii wetu umekufa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kaa chini nikupashe. Watanzania mpo nambari ya pili kwa watalii kutoka NJE ya nchi.Taarifa inaendelea na kusema "local tourism grew from 3.3 milion to 3.8milion" Local tourists ndio sisi waKenya. Sasa hiyo laki yenu mbili mnaweza linganisha na watalii waKenya milioni nne? [emoji23][emoji23]

Tumia Ubongo. Ama ni kinyesi umejaza kichwani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1139]
Nimekuambia kuwa makini utapata premature abortion, sasa kwasababu nini mumefikia 3.8M local tourists mumewazidi hata USA walioshika namba moja, kwahiyo ninyi ni matajiri kuzidi USA, kweli akili za nyang'au hazina akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuambia kuwa makini utapata premature abortion, sasa kwasababu nini mumefikia 3.8M local tourists mumewazidi hata USA walioshika namba moja, kwahiyo ninyi ni matajiri kuzidi USA, kweli akili za nyang'au hazina akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Premature abortion ndio nini?

Ni heri uandike vitu unazoelewa, sio matapishi tuu [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

MK254 tafadhali nisaidie hapa. Nimeshindwa[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

MK254 tafadhali nisaidie hapa. Nimeshindwa[emoji23][emoji23]

Haya huwa sio ya kubisahana nayo, maana hakuna kitu kgumu dunia hii kama kubishana na Mtanzania, atarudia rudia kile kimoja ambacho umemuweka sawa lakini bado yuko papo hapo hatoki, walimu wao hupata shida sana.
Anyway am happy our tourism is getting better despite the fact we don't have much in attractions, just hard work and aggressiveness in marketing, mivivu na kila kivutio lakini bado wapo pale pale hawakui.
 
Unasema ni kama kupigia ng'ombe guitar enh? Barabara kabisa, nimenawa mikono.

Yaani despite the challenges of political temperatures, the alleged terrorism and travel advisories etc we still managed to record a surge in tourist numbers. Testament to the resolve of our nation. It can only be forward from here on.

Mimi kwanza pale kwenye local tourism ndio nimefurahia sana.
 
The ratio is 1:3 therefore the revenues in Tanzania will hit 3× Kshs 119 bln! Mark my words!
na hata ripoti ya WTTC zinaonyesha kufanya vizuri kwa sekta ya utalii nchini Tz kuliko Kenya makosanyo ya pesa za geni Tz ni mengi sana hata hivyo Kenya wata hit within 2 years to come sababu ya safari ya moja kwa moja toka marekani mpaka kenya nazani itabust utalii wa kenya
 
Unasema ni kama kupigia ng'ombe guitar enh? Barabara kabisa, nimenawa mikono.

Yaani despite the challenges of political temperatures, the alleged terrorism and travel advisories etc we still managed to record a surge in tourist numbers. Testament to the resolve of our nation. It can only be forward from here on.

Mimi kwanza pale kwenye local tourism ndio nimefurahia sana.
Political temperature inasababishwa na nini kama sio upumbavu wenu na ujinga wenu wa kuendekeza ukabila?, terrorism imesababishwa na nini kama sio akili zenu mbovu zinazosababisha maamuzi mabaya na ya kijinga ya kupeleka majeshi yenu dhahifu Somalia wakati mnajua hamna ubavu wa kupigana?, wajinga sana ninyi, kazi kulialia tu, Mara hatuna vivutio vingi, mara hatuna Mali asili, ninyi si mligundua mafuta ambayo sisi hatuna, je hayo mafuta hadi Leo yamewasaidiaje?, tutaendelea kuwakimbiza kila pembe na mkijaribu kuja huku tunawanyanyasa kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe huwa hukosi kupinga habari za Kenya making progress?
Naskia drimulaina inasafirisha nyama kwa kukosa wasafiri 😀😀😀
 
Back
Top Bottom