Mapato ya vijiji/miji ya watani wetu Tanzania kwa mwaka mzima ni ya kushangaza kama si ya ajabu

Mapato ya vijiji/miji ya watani wetu Tanzania kwa mwaka mzima ni ya kushangaza kama si ya ajabu

Bus stands ni za Nchi masikini Kama Tz na Uganda. Povu ruksa
Kampala ni kama Nairobi hamna bus stands. London, Washington, Paris and the likes ndiyo kuna bus stands kama Tz. Kutokua na bus Stands siyo sifa ni matokeo ya poor city planning. Mkifanikiwa kujenga BRT ushamba utawatoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
last year Nairobi collected 11 billion KES = 248 billion TZS
Mombasa 4 Billion = 90 Billion TZS
Nakuru 3 billion KES = TZS 67 Billion
Kiambu 2 billion Kes = 45 billion TZS

combine all the dar municipalities it doesnt come close to mombasa..yet dar has a pop of 6 million
Hizi ni manispaa tatu tu za Dar., na ina manispaa sita...

1: Manispaa ya Ilala - bilioni 44.5
2: Manispaa ya Kinondoni - bilioni 29.7
3: Manispaa ya Temeke - bilioni 29.4

Sasa hizo hazijaifikia Mombasa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kampala ni kama Nairobi hamna bus stands. London, Washington, Paris and the likes ndiyo kuna bus stands kama Tz. Kutokua na bus Stands siyo sifa ni matokeo ya poor city planning. Mkifanikiwa kujenga BRT ushamba utawatoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiweza kuijenga SGR ambayo imekaza vyuma kwa sasa ushamba utawatoka vile vile mkiwacha kuitumia ATCL kusafirishia nyama ushamba utawatoka vile vile mkiweza kuingia middle income category ushamba utawatoka....bure kabisa.
 
Hizi ni manispaa tatu tu za Dar., na ina manispaa sita...

1: Manispaa ya Ilala - bilioni 44.5
2: Manispaa ya Kinondoni - bilioni 29.7
3: Manispaa ya Temeke - bilioni 29.4

Sasa hizo hazijaifikia Mombasa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
dar iko na population ya 6 million na mombasa 1 million..haujionei aibu hapo
 
but generate more revenue than the whole of Tanzania combined
Oooh...Tourism revenue...😅😅😅🤣🤣🤣👇👇
slum+px+px+px.jpg
 
Mkiweza kuijenga SGR ambayo imekaza vyuma kwa sasa ushamba utawatoka vile vile mkiwacha kuitumia ATCL kusafirishia nyama ushamba utawatoka vile vile mkiweza kuingia middle income category ushamba utawatoka....bure kabisa.
Hii tunawaomba mje kuishangaa...This week inashuka👇👇👇
 
Hesabu za Serikali isiyotaka kukaguliwa ni za kutilia shaka, tuseme si za kuaminika.
 
Back
Top Bottom