Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye akili kubwa kuliko hata nyie mlioko uongozini.

Ni Mwendawazimu tu pekee kwa mafanikio makubwa ya Yanga SC kwa Msimu huu, kufanya vyema Kimichezo (Kimashindano), Kujaza Uwanja, Kuuza Jezi na kupata Fedha nyingi ndiyo hatoamini ila kwa Mimi GENTAMYCINE naiamini kwa 100% Ripoti ya Yanga SC ila siiamini na sitokuja kuiamini Ripoti ya Simba SC kwa 100% kwani Kwangu Mimi kama kuna Msimu mbaya ambao Simba SC yangu imefanya vibaya ni huu wa sasa (2022/2023 ) Uliomalizika.

Tuachane na Propaganda za hovyo.
 
Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ys Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na Yenu ya Kubumba ( Kupika ) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye Akili Kubwa kuliko hata nyie mlioko Uongozini.

Ni Mwendawazimu tu pekee kwa Mafanikio makubwa ya Yanga SC kwa Msimu huu, kufanya vyema Kimichezo ( Kimashindano ), Kujaza Uwanja, Kuuza Jezi na kupata Fedha nyingi ndiyo hatoamini ila kwa Mimi GENTAMYCINE naiamini kwa 100% Ripoti ya Yanga SC ila siiamini na sitokuja kuiamini Ripoti ya Simba SC kwa 100% kwani Kwangu Mimi kama kuna Msimu mbaya ambao Simba SC yangu imefanya vibaya ni huu wa sasa ( 2022 / 2023 ) Uliomalizika.

Tuachane na Propaganda za hovyo.
Salama Mkuu!!
Uongozi wa Simba Jana umenikumbusha enzi za utoto tunacheza kitotototo.
Juma: Baba yangu amesema
atanunua gari.......
Dan: Baba yangu atanunua meli.

Walichofanya Jana viongozi wa Simba ni comeback ya kihuni.
 
Sema CEO wa Simba yetu ni zero brain plus na Try Again .
Kupitia kile kikao Cha Jana na wabunge nimeelewa kwann Timu yetu haipati mafanikio.
Viongoz wao wanawaza kushindana na Yanga tu na sio kujikita kwenye uhalisia wa Club .
Shida hawatak wapitwe Kwa lolote lile wakihofia mashabik tutapiga kelele.
Yanga akiwa na bajet ya b20 na Simba akawa na bajet ya b13 ubaya uko wapi ?Tena hii ingeipa Simba kete muhimu huko mbelen km itaenda kufanya vzr.
Kupitia huu uongo wa viongoz wetu wakishindwa kubeba hata ndoo Moja ya maana msimu ujao watambue wamejipalia Kaa moto.
Utoto umejaa sana hapo msimbaz Sion Simba ikifika mbali sabab ya watu wachache wajinga wajinga.
 
Mafanikio ni kutolewa klabu bingwa hatua za awali mkubwa???heeeh basi wana mafanikio makubwa wenzetu
 
Mwamedi kanunuwa Simba kwa Billion 20, halafu bajeti ya mwaka Billion 24.

Vichekesho kama hivi vinapatikana mchambawima tu.
Aliinunua simba mwaka gani? wakati anainunua alikuta simba ikiwa na bajeti ya shi ngapi?
 
Mwamedi kanunuwa Simba kwa Billion 20, halafu bajeti ya mwaka Billion 24.

Vichekesho kama hivi vinapatikana mchambawima tu.
Ko huwezi inunua biashara kwa ela kidogo na ukaweka bajeti kubwa kwenye kuendesha iyo biashara!
 
Back
Top Bottom