Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

Ko huwezi inunua biashara kwa ela kidogo na ukaweka bajeti kubwa kwenye kuendesha iyo biashara!
Ao mashabiki wanaongea ushabiki hamna akili hata moja inayo tumika apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…