Mapato Yanga yalikuwa Bilioni 17.8, matumizi Bilioni 17.3 chenji ni Milioni 500, Mmh!

Mapato Yanga yalikuwa Bilioni 17.8, matumizi Bilioni 17.3 chenji ni Milioni 500, Mmh!

Inaonekana ushiriki wa Yanga kwenye mashindano mbalimbali imeweza kuwapa BIL 3.5. Yanga wametangaza kuwa na makubaliano na mabenki makubwa matatu kama NMB na CRDB katika huduma ya usajili wa wanachama kidigitali kote nchini. Kwa speed hii, wale wakubeti mwaka huu basi walivuna sana kama waliweka mikeka ya Yanga.....
 
Back
Top Bottom