Mapazia 6 yanauzwa, yote TZS 100,000/=

Mapazia 6 yanauzwa, yote TZS 100,000/=

Yangekuwa kijani au njano ningeyachukua Mimi Yanga
Habari ya weekend wakuu!

Husikeni na tangazo hapo juu, Mapazia 6 used kidogo yanauzwa 4 ni rangi ya maroon 2 meupe yanafaa kuwekwa sitting room au bedroom nk. Huwa yanawekwa Mapazia 3 dirisha 1 hivo 6 yatafaa kwa madirisha 2, bei yake jumla ni 100,000/= dukani huuzwa sh 30k hadi 35k kwa kila pazia.

Mahali ni Dar es salaam na ntakufikishia bure, ila hata mikoani naweza kukutumia ukilipia gharama ya usafiri. Karibuni sana wakuu, karibu pm pia kwa maelezo zaidi.

Ahsanteni 👏

View attachment 1794020

View attachment 1794021

View attachment 1794023
 
Mrejeshio, Ahsanteni sana wakuu kwa support yenu, nimefanikiwa kuyauza hayo mapazia namshukuru pia mteja wangu aliyeyanunua,uko vizuri👍
 
Back
Top Bottom