financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #41
Hata Riverside kwenyewe hapajui! Ilikua Mikwara tu ile😀Nina imani yule wa RIVERSIDE ameyabeba yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Riverside kwenyewe hapajui! Ilikua Mikwara tu ile😀Nina imani yule wa RIVERSIDE ameyabeba yote.
Sipo dar dada yangu, nipo Kinyerezi huku. Naomba nisaidie kupata hayo mapaziaAisee [emoji19] haya ni ya kibachela zaidi watu tuna single room[emoji848]
Ahsante hata kwa hii response mamy!
Haupo Dar? Hivi kinyerezi si ni Dar hiyo ama ni Pwani?Sipo dar dada yangu, nipo Kinyerezi huku. Naomba nisaidie kupata hayo mapazia
Kinyerezi ni outskirt ya DsmHaupo Dar? Hivi kinyerezi si ni Dar hiyo ama ni Pwani?
Mkuu mbona kama unateseka sana mimi kusifiwa, acha wivu hata wewe ni ruksa kusifia😜
Mkuu niambukize genji ya mapazia Nilipambana kwakweliMkuu mbona kama unateseka sana mimi kusifiwa, acha wivu hata wewe ni ruksa kusifia😜
Genji ni nini mkuu?😀Mkuu niambukize genji ya mapazia Nilipambana kwakweli
kiasi kidogo anachopewa dalali kwa Kazi aliofanyaGenji ni nini mkuu?😀
Kwa hiyo umekataa kunisaidia kupata mapazia huko Dsm kwa sababu mimi naishi Kinyeŕezi ?Mkuu mbona kama unateseka sana mimi kusifiwa, acha wivu hata wewe ni ruksa kusifia[emoji12]
Una mapazi mazuri mtoto😝😝Mkuu mbona kama unateseka sana mimi kusifiwa, acha wivu hata wewe ni ruksa kusifia😜