GE2025 Mapema hata kabla majina matatu hayajarudi wanaCCM wameonyesha mpasuko mkubwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani.

Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura.

Jina langu lisiporudi mimi ninazila.

Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
 
Kwa hiyo ACT na CHAUMA wajiandae kwa mavuno??
 
Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani.

Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura.

Jina langu lisiporudi mimi ninazila.

Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
NO REFORMS, NO ELECTION

#Free Lissu#
 
Wanaokubalika hawashiriki uchaguzi na hawa watu shida yao ni ubunge
Bora hawa waliokataa uchaguzi batili kuliko hao ambao hawata pata kura hata moja.
 
Nasema nini.......🤨
Kinyesi hakina miba ila ukiyakanyaga lazima utachechemea tu....🤣
 
Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani.

Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura.

Jina langu lisiporudi mimi ninazila.

Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
20250713_021213.jpg
 
Kesho itakuwa wanajivua gamba hapa na kujihuisha upya
 
Back
Top Bottom