Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

Maraisi waanavyo enda kwenye kongamano la uchumi huwa ni wachumi? Hivi kwa akili yako unaamini shida ya hii nchi ni mawaziri? Huyo bosi wao mbona humsemi? Awamu iliopita Mkuu wa nchi si alikuwa ndio Waziri wa kila wizara unasemaje hapo?
Umeshaona impact unapokuwa na Mchumi kwenye kongamano la uchumi?
 
Kama Kimei hafai basi CRDB ingekuwa benki mufilisi sasa
Hiyo ni benki ya kinyonyaji.iliwaibia watu kwa kuwatoza riba kubwa.benki hiyo iliwafilisi wananchi kwa kuwauzia mali zao sababu ya riba kubwa iliyosababisha watu kushindwa kulipa mikopo yao hivyo Kimei akipewa wizara ya fedha tozo zitaongezeka maradufu na uchumi utaporomoka
 
UKWELI USEMWE TANZANIA HAKUJAWAI KUWA NA MUISLAMU YOYOTE BORA KIUONGOZI NA SABABU ZAKE ZIPO WAZI KABISA ...mojawapo ni kuwa wote wanao pata uongozi kupitia hiyo dini siyo waislamu bali ni WAISIHALAMU..mbili hakuna wala hakujawai kutokea MZALENDO KUTOKA HIYO DINI BALI KWENYE HIYO DINI WAMEPATIKANA VIONGOZI AMBAO NI MAADUI WAKUBWA WA UZALENDO....tatu viongozi wote watokao kwenye hiyo dini wanayo TABIA YA KUSUJUDIA WAARABU NA KUABUDU MABEBERU KWAO BEBERU NI KAMA MUNGU WAO WANAISHI KWA KILA NENO LITOKALO KWENYE KINYWA CHA BEBERU.huo ndiyo ukweli mchungu
 
Hivi January Makamba hanaga proffession?
Maana kwingine kote naona umewataja kwa sifa ikiwemo taaluma, Ila kwa huyu mwamba naona Kama umepata kigugumizi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mbona ni proffession mbobezi wa maswala ya [emoji304][emoji304][emoji304]BOYS TO MAN
 
Huna hoja zaidi ya kujaa chuki. Hakuna lolote la maana unaloongea zaidi ya kuonesha chuki tu kwa watu usiowapenda. kama unapinga jambo pinga kwa hoja nzito na sema kwa nini unapinga kwa hoja
Wewe una hoja gani zaidi ya kuandika "chuki na ufipa" kwenye majibu yako?

Hujui unaposimamia, thread yako ni kama uchafu haina locus standi, huelewi ulikuwa unasimamia wapi wakati unaandika, umeanza na umuhimu wa elimu kutuonesha aliyekwenda kusomea India akapewa uwaziri na Nyerere...

Baadae unahamia kwa Makamba asie na elimu yoyote unasema nae anafaa kwasababu ana "mipango"....

Hapo nimekuonesha kwa mifano vizuri ulivyo kichwa panzi nashangaa bado unajidai huoni!, ujifunze kujibu watu bila kuleta utoto wako wa ufipa unaoutumia kuficha udhaifu wako upstairs.
 
Kwani kunambi niliyesema anafaa Ardhi ana elimu ya ardhi?
Shida yako ni Makamba kuwa Nishati sio? Basi nimekuelewa

Ila kwa aliyoyafanya akiwa nishati yanamfanya astahili kuendelea pale kama aliyoyafanya Aweso Maji na Bashe Kilimo
 
Ahsante sana kwa elimu kubwa namna hii
 
Bila past ni vigumu to explore the present.

Future yetu inategemea nini tunakipanga sasa.

Kudos for the heroes of the past
Kweli kabisa! Amir Jamal was really a hero. Hatuna budi kufuata mfano huu katika kuchagua Mawaziri kuanzia sasa
 
Mwigulu Lameck hastahili kuwa waziri wa wizara yoyote! Labda arudi Lumumba
 
Mwigulu Lameck hastahili kuwa waziri wa wizara yoyote! Labda arudi Lumumba
Anayetakiwa kupumzika kwa sasa ni Mzee Mkuchika. He is very old kwa kweli. Ile nafasi kwa sasa anastahili kuchukua Palamagamba Kabudi as kuna sehemu naona serikali yetu inapaswa kumtumia hasa kwenye mikataba mbalimbali na ushauri muhimu wa kisheria
 
Nani anafaa?kila siku ni kubadilisha

tatizo sio mtu hakuna sera moja ya kitaifa ,inayoliongoza Taifa
 
Unasemaje ramli wakati tumeshaona mifano mingi tu,
Kama anaendelea kubisha mpe mfano wa waziri Omary Nundu. Huyu alikuwa amefanyakazi kwenye mashirika makubwa ya kimataifa ya ndege. Rais Kikwete kwa kulijua hilo akamteua kuwa waziri wa uchukuzi. Lkn ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…