Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

Kama anaendelea kubisha mpe mfano wa waziri Omary Nundu. Huyu alikuwa amefanyakazi kwenye mashirika makubwa ya kimataifa ya ndege. Rais Kikwete kwa kulijua hilo akamteua kuwa waziri wa uchukuzi. Lkn ......
Vipi kuhusu Amir Jamal?
 
Huyu kiukweli ndiyo namsikia leo. Sijawahi hata kupata historia yake. Nakushukuru kwa kunipa kitu kipya leo
Ukisikia watu wanasema kipindi cha Nyerere viwanda vilijengwa kama Morogoro na kwingineko au ukisikia sera za fedha nzuri kabla ya anguko la uchumi Tanzania basi jua kichwa alikuwa huyo Mtanzania mwenye asili ya India Amir Jamal!
 
Mkuu,
Sio kupenda kupitiliza. Jijenge tabia ya kutojidanganya mwenyewe hata kama upendi itakavyokuwa kwenye uchaguzi mkuu 2025. Ni muhimu kwa afya yako ya akili labda kama unafanya siasa kwenye ili.

Again I want to reiterate my question; Ni nani ndani ya CCM au upinzani anaweza kuwa kumwondoa Samia 2025?
Ok,

1. Mungu akiamua asigombee hatogombea.

2.Mamlaka za juu zinazoonekana na zisizoonekana zinaweza kumpa ushauri na akaupokea, kulingana na Hali watakayoiona mbele.

3. Yeye mwenyewe binafsi anaweza akasusa kama alivyowahi kususa enzi za uncle.

Hapo vp!!!
 
Kwa hiyo kumbe unapiga ramli tu?
 
Anayetakiwa kupumzika kwa sasa ni Mzee Mkuchika. He is very old kwa kweli. Ile nafasi kwa sasa anastahili kuchukua Palamagamba Kabudi as kuna sehemu naona serikali yetu inapaswa kumtumia hasa kwenye mikataba mbalimbali na ushauri muhimu wa kisheria
Ofisi ya Rais kazi maalum,unaelewa nini?? Kingunge pia kipindi cha Jakaya aliwahi kua ofisi ya Rais kazi maalum,Mwandosya pia aliwahi kua ofisi ya Rais kazi maalum!
 
Mkuu,
Sio kupenda kupitiliza. Jijenge tabia ya kutojidanganya mwenyewe hata kama upendi itakavyokuwa kwenye uchaguzi mkuu 2025. Ni muhimu kwa afya yako ya akili labda kama unafanya siasa kwenye ili.

Again I want to reiterate my question; Ni nani ndani ya CCM au upinzani anaweza kuwa kumwondoa Samia 2025?
Samia ana upinzani Mkubwa sana ndani ya chama chake!

1. Wengi hawakubali kua Samia ni Rais,wengi wanasema ni Rais wa Mpito,hata bungeni kule hua wanasema Samia ni Rais wa Mpito! Hata yeye anajua na amewahi kupiga mkwara hii kauli!

2. Kabla ya Ndugai kuachia,nafasi ya Sipika,kumbuka maneno aliyokua anasema Ndugai,kwa akili ya kawaida na kwa mtu anayetambua mamlaka za Rais,hawezi sema yale maneno,mbona kipindi cha Magu watu walikua kimya??

3. Kuna watu walikua washajipanga kabisa,baada ya Magu,wasogee wao kwenye kiti cha urais,lakini Mungu nae hupanga,je watakubali kukaa hadi 2030 ndiyo wagombee?? Je huoni umri utakua umewaacha??

4. Tangu Samia aingie Ikulu ni mradi upi kaanzisha,kausimamia?? Hapa ndipo wanapompoteza,maana kila akigusa sehemu hakuna pesa,kila akichungulia haoni pesa,ndiyo maana wanaanzisha kodi ambazo,Hazina kichwa wala miguu,ili wapate pesa! Tozo za kwenye simu,ukinunua vocha,wanakula chao,ukituma pesa au kutoa pesa kwenye simu wanakula chao,banks ukitoa pesa wanakula chao!

5. Samia kazi anayo tena kubwa sana! Ingawa nimeanza kuona kaanza kushituka,mfano Kanda ya ziwa,watu wenye nguvu na ushawishi Mkubwa wa siasa kama kina Mzee Gachuma,anawapa madaraka! Gachuma ni Mwenyekiti wa bodo ya wanunuzi wa Pamba au bodi ya Pamba,pia ni mjumbe wa bodi ya Tanesco,yupo na kina mtoto wa Backhresa!
 
Kwani yule mliesema atake asitake tutamlazimisha Yuko wapi????

Kuongelea 2025 ambayo hatujafika mkijihakikishia atagombea Si ramli hizo?
Samia anakuwa Rais kwa vipindi vyake halali vya kikatiba. Huyo unayemsema alikuwa anataka kuvunja katiba. Hayo ni mambo mawili tofauti
 
Ofisi ya Rais kazi maalum,unaelewa nini?? Kingunge pia kipindi cha Jakaya aliwahi kua ofisi ya Rais kazi maalum,Mwandosya pia aliwahi kua ofisi ya Rais kazi maalum!
Hawa wanaserve kama washauri wa Rais. kwa sababu kwenye katiba yetu hatuna Cheo cha Mshauri wa Rais. Pia hawa wanakuwaga kama viranja wa Mawaziri wengine na wanatumwa special assignments na Rais.

Kiuhalisia Mzee Mkuchika amechoka sana tayari. He needs to stay aside kusubiri kustaafu for good. Kabuki anastahili kuchukua ile nafasi. Ni mzee nae ila I think he has something to offer kama msomi na mtafiti mahiri kwenye huu ulimwengu uliojaa competition sana
 
Samia ana upinzani Mkubwa sana ndani ya chama chake!

1. Wengi hawakubali kua Samia ni Rais,wengi wanasema ni Rais wa Mpito,hata bungeni kule hua wanasema Samia ni Rais wa Mpito! Hata yeye anajua na amewahi kupiga mkwara hii kauli!

2. Kabla ya Ndugai kuachia,nafasi ya Sipika,kumbuka maneno aliyokua anasema Ndugai,kwa akili ya kawaida na kwa mtu anayetambua mamlaka za Rais,hawezi sema yale maneno,mbona kipindi cha Magu watu walikua kimya??

3. Kuna watu walikua washajipanga kabisa,baada ya Magu,wasogee wao kwenye kiti cha urais,lakini Mungu nae hupanga,je watakubali kukaa hadi 2030 ndiyo wagombee?? Je huoni umri utakua umewaacha??

4. Tangu Samia aingie Ikulu ni mradi upi kaanzisha,kausimamia?? Hapa ndipo wanapompoteza,maana kila akigusa sehemu hakuna pesa,kila akichungulia haoni pesa,ndiyo maana wanaanzisha kodi ambazo,Hazina kichwa wala miguu,ili wapate pesa! Tozo za kwenye simu,ukinunua vocha,wanakula chao,ukituma pesa au kutoa pesa kwenye simu wanakula chao,banks ukitoa pesa wanakula chao!

5. Samia kazi anayo tena kubwa sana! Ingawa nimeanza kuona kaanza kushituka,mfano Kanda ya ziwa,watu wenye nguvu na ushawishi Mkubwa wa siasa kama kina Mzee Gachuma,anawapa madaraka! Gachuma ni Mwenyekiti wa bodo ya wanunuzi wa Pamba au bodi ya Pamba,pia ni mjumbe wa bodi ya Tanesco,yupo na kina mtoto wa Backhresa!
Kuwa na upinzani ndani na nje ya chama ni jambo la kawaida sana

Nakubaliana na wewe kuwa baadhi yao hasa wabunge walikuwa wanamwita Rais wa mpito

Wengi wanamchukulia poa Samia ila amini maneno yangu, Samia ni mwanasiasa aliyekamilika na anayejua kuzipanga karata zake vizuri.

Kuhusu miradi labda useme upo nje ya Tanzania na hufuatilii mambo yanayoendelea Tanzania. In just a year and few months amefanya miradi mingi na kuanzisha mingi sana kuanzia shule, barabara, hospitali na mambo mengi sana!
Au wewe huzijui shule na hospitali za pesa za covid? Hujui barabara zinazojengwa kwa miradi ya Tarura?

Kuhusu pesa hata tungekuwa na Rais Malaika angefanya anavyofanya Samia. Nchi ina madeni na miradi bado inatakiwa kufanyika sasa unategemea fedha zingepatikana wapi?

Alafu kama hujui kwa maendeleo tunayotakiwa kuwa nayo kodi zilitakiwa ziwe nyingi zaidi kuliko hata hizi tulizokuwa nazo. Unatakiwa kujua kuwa Tanzania wanaolipa kodi ni wachache saaana!
 
Kweli kabisa! Amir Jamal was really a hero. Hatuna budi kufuata mfano huu katika kuchagua Mawaziri kuanzia sasa
Denning
Nikichojifunza kwenye bandiko lako hili ni kwamba, sisi tunaoiishi future ya wazee wetu tunajitahidi kuifuta past ya walioishi hao wazee.
 
Back
Top Bottom