Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #141
Sera yq jambo gani? Fafanua ndugu?Nani anafaa?kila siku ni kubadilisha
tatizo sio mtu hakuna sera moja ya kitaifa ,inayoliongoza Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sera yq jambo gani? Fafanua ndugu?Nani anafaa?kila siku ni kubadilisha
tatizo sio mtu hakuna sera moja ya kitaifa ,inayoliongoza Taifa
Vipi kuhusu Amir Jamal?Kama anaendelea kubisha mpe mfano wa waziri Omary Nundu. Huyu alikuwa amefanyakazi kwenye mashirika makubwa ya kimataifa ya ndege. Rais Kikwete kwa kulijua hilo akamteua kuwa waziri wa uchukuzi. Lkn ......
Huyu kiukweli ndiyo namsikia leo. Sijawahi hata kupata historia yake. Nakushukuru kwa kunipa kitu kipya leoVipi kuhusu Amir Jamal?
Ukisikia watu wanasema kipindi cha Nyerere viwanda vilijengwa kama Morogoro na kwingineko au ukisikia sera za fedha nzuri kabla ya anguko la uchumi Tanzania basi jua kichwa alikuwa huyo Mtanzania mwenye asili ya India Amir Jamal!Huyu kiukweli ndiyo namsikia leo. Sijawahi hata kupata historia yake. Nakushukuru kwa kunipa kitu kipya leo
Ok,Mkuu,
Sio kupenda kupitiliza. Jijenge tabia ya kutojidanganya mwenyewe hata kama upendi itakavyokuwa kwenye uchaguzi mkuu 2025. Ni muhimu kwa afya yako ya akili labda kama unafanya siasa kwenye ili.
Again I want to reiterate my question; Ni nani ndani ya CCM au upinzani anaweza kuwa kumwondoa Samia 2025?
Kwa hiyo kumbe unapiga ramli tu?Ok,
1. Mungu akiamua asigombee hatogombea.
2.Mamlaka za juu zinazoonekana na zisizoonekana zinaweza kumpa ushauri na akaupokea, kulingana na Hali watakayoiona mbele.
3. Yeye mwenyewe binafsi anaweza akasusa kama alivyowahi kususa enzi za uncle.
Hapo vp!!!
Kwani yule mliesema atake asitake tutamlazimisha Yuko wapi????Kwa hiyo kumbe unapiga ramli tu?
Kumbe ni nani?? Rais, Bunge au watendaji?Kwani hii nchi mnaamini shida ni Mawaziri?;
Ofisi ya Rais kazi maalum,unaelewa nini?? Kingunge pia kipindi cha Jakaya aliwahi kua ofisi ya Rais kazi maalum,Mwandosya pia aliwahi kua ofisi ya Rais kazi maalum!Anayetakiwa kupumzika kwa sasa ni Mzee Mkuchika. He is very old kwa kweli. Ile nafasi kwa sasa anastahili kuchukua Palamagamba Kabudi as kuna sehemu naona serikali yetu inapaswa kumtumia hasa kwenye mikataba mbalimbali na ushauri muhimu wa kisheria
Samia ana upinzani Mkubwa sana ndani ya chama chake!Mkuu,
Sio kupenda kupitiliza. Jijenge tabia ya kutojidanganya mwenyewe hata kama upendi itakavyokuwa kwenye uchaguzi mkuu 2025. Ni muhimu kwa afya yako ya akili labda kama unafanya siasa kwenye ili.
Again I want to reiterate my question; Ni nani ndani ya CCM au upinzani anaweza kuwa kumwondoa Samia 2025?
Samia anakuwa Rais kwa vipindi vyake halali vya kikatiba. Huyo unayemsema alikuwa anataka kuvunja katiba. Hayo ni mambo mawili tofautiKwani yule mliesema atake asitake tutamlazimisha Yuko wapi????
Kuongelea 2025 ambayo hatujafika mkijihakikishia atagombea Si ramli hizo?
Hawa wanaserve kama washauri wa Rais. kwa sababu kwenye katiba yetu hatuna Cheo cha Mshauri wa Rais. Pia hawa wanakuwaga kama viranja wa Mawaziri wengine na wanatumwa special assignments na Rais.Ofisi ya Rais kazi maalum,unaelewa nini?? Kingunge pia kipindi cha Jakaya aliwahi kua ofisi ya Rais kazi maalum,Mwandosya pia aliwahi kua ofisi ya Rais kazi maalum!
Kuwa na upinzani ndani na nje ya chama ni jambo la kawaida sanaSamia ana upinzani Mkubwa sana ndani ya chama chake!
1. Wengi hawakubali kua Samia ni Rais,wengi wanasema ni Rais wa Mpito,hata bungeni kule hua wanasema Samia ni Rais wa Mpito! Hata yeye anajua na amewahi kupiga mkwara hii kauli!
2. Kabla ya Ndugai kuachia,nafasi ya Sipika,kumbuka maneno aliyokua anasema Ndugai,kwa akili ya kawaida na kwa mtu anayetambua mamlaka za Rais,hawezi sema yale maneno,mbona kipindi cha Magu watu walikua kimya??
3. Kuna watu walikua washajipanga kabisa,baada ya Magu,wasogee wao kwenye kiti cha urais,lakini Mungu nae hupanga,je watakubali kukaa hadi 2030 ndiyo wagombee?? Je huoni umri utakua umewaacha??
4. Tangu Samia aingie Ikulu ni mradi upi kaanzisha,kausimamia?? Hapa ndipo wanapompoteza,maana kila akigusa sehemu hakuna pesa,kila akichungulia haoni pesa,ndiyo maana wanaanzisha kodi ambazo,Hazina kichwa wala miguu,ili wapate pesa! Tozo za kwenye simu,ukinunua vocha,wanakula chao,ukituma pesa au kutoa pesa kwenye simu wanakula chao,banks ukitoa pesa wanakula chao!
5. Samia kazi anayo tena kubwa sana! Ingawa nimeanza kuona kaanza kushituka,mfano Kanda ya ziwa,watu wenye nguvu na ushawishi Mkubwa wa siasa kama kina Mzee Gachuma,anawapa madaraka! Gachuma ni Mwenyekiti wa bodo ya wanunuzi wa Pamba au bodi ya Pamba,pia ni mjumbe wa bodi ya Tanesco,yupo na kina mtoto wa Backhresa!
DenningKweli kabisa! Amir Jamal was really a hero. Hatuna budi kufuata mfano huu katika kuchagua Mawaziri kuanzia sasa
Hili ni tatizo sanaDenning
Nikichojifunza kwenye bandiko lako hili ni kwamba, sisi tunaoiishi future ya wazee wetu tunajitahidi kuifuta past ya walioishi hao wazee.