Mapendekezo katika maboresho ya utalii: Wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi cha kumfikia kila mtu

FPT

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,216
Reaction score
1,848
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.

Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu.

Hatua hii ya kwanza iliruhusisha utazamaji wa filamu ya Royal tour kwa kuipakua mitandaoni. Awamu hii kama nilivyoiita mwanzo ni hatua ya tathmini basi filamu hiyo yawezekana imewafikia watu wachache kutokana na watu wenye 'access' ya njia hiyo kuwa wachache.

Napendekeza kuwepo na hatua ya pili na hatua ya tatu ili wazo hili la Royal tour lichukue sura pana zaidi.

Katika hatua ya pili ihusishe uuzaji na usambazaji wa filamu ya Royal tour kupitia hard media kama DVD, memory card na USB flash.

Leo hii DVD imekuwa ni njia rahisi zaidi ya kupata filamu zilizopo nchi nyingine. Kwa wapenzi wa filamu hususani za kikorea naamini hili linaeleweka.

Kwa hatua hii napendekeza yafuatayo:
i)Mabalozi wanaowakilisha nchi yetu wapewe DVD,memory Card au flash zenye filamu ya Royal tour za kutosha kuziuza kwenye nchi wanazowakilisha.

ii) Kufunguliwe duka maalumu litakalopewa jukumu la kusambaza kazi za Royal tour .Pia kila ubalozi uhakikishe una sehemu ya kusambazia filamu ya Royal tour

iii) kwenye maonesho ya kimataifa tutumie maonesho hayo kupromote utalii kwa kuuza na kusambaza filamu ya Royal tour na vitu vingine vinavyopromote utalii.

iv) wageni au watalii wanaokuja Tanzania kama zawadi ya kumbukumbu kuja kwao tuwape DVD yenye filamu ya Royal tour.

v) Zawadi za picha za wanyama au vivutio vya utalii wanazopewa viongozi wanaomtembelea Rais ikulu iambatane na DVD yenye filamu ya Royal tour.

Baada ya kumaliza hatua hii ya pili ya utangazaji utalii kupitia filamu ya Royal tour, napendekeza hatua ya tatu ambayo itahusisha:

i) Usambaji na uoneshaji wa filamu ya Royal kupitia "electronic posters" katika maeneo ambayo yana mkusanyiko mkubwa wa watu.

ii) Uhamasishaji wa 'Royal tour' kupitia mitandao ya kijamii kwa kuhusisha wasanii na watu maarufu wengine

Baada ya hapa naamini kila mtu atakuwa kafikiwa na lengo kuu la utengenezaji wa filamu ya Royal tour litakuwa limekamilika.
 
Hoja ina mashiko,ila ile Bodi ya Utalii inatakiwa ifanyiwe mabadiliko makubwa sana, website Yao yenyewe mbovu sana,haina mvuto kabisa.
Ila kituko walikuwa na Marketing Director aliyesomea mambo ya Diplomacy.
Nchi ngumu sana hii Mkuu!
 
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.

Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu.

Hatua hii ya kwanza iliruhusisha utazamaji wa filamu ya Royal tour kwa kuipakua mitandaoni. Awamu hii kama nilivyoiita mwanzo ni hatua ya tathmini basi filamu hiyo yawezekana imewafikia watu wachache kutokana na watu wenye 'access' ya njia hiyo kuwa wachache.

Napendekeza kuwepo na hatua ya pili na hatua ya tatu ili wazo hili la Royal tour lichukue sura pana zaidi.

Katika hatua ya pili ihusishe uuzaji na usambazaji wa filamu ya Royal tour kupitia hard media kama DVD, memory card na USB flash.

Leo hii DVD imekuwa ni njia rahisi zaidi ya kupata filamu zilizopo nchi nyingine. Kwa wapenzi wa filamu hususani za kikorea naamini hili linaeleweka.

Kwa hatua hii napendekeza yafuatayo:
i)Mabalozi wanaowakilisha nchi yetu wapewe DVD,memory Card au flash zenye filamu ya Royal tour za kutosha kuziuza kwenye nchi wanazowakilisha.

ii) Kufunguliwe duka maalumu litakalopewa jukumu la kusambaza kazi za Royal tour .Pia kila ubalozi uhakikishe una sehemu ya kusambazia filamu ya Royal tour

iii) kwenye maonesho ya kimataifa tutumie maonesho hayo kupromote utalii kwa kuuza na kusambaza filamu ya Royal tour na vitu vingine vinavyopromote utalii.

iv) wageni au watalii wanaokuja Tanzania kama zawadi ya kumbukumbu kuja kwao tuwape DVD yenye filamu ya Royal tour.

v) Zawadi za picha za wanyama au vivutio vya utalii wanazopewa viongozi wanaomtembelea Rais ikulu iambatane na DVD yenye filamu ya Royal tour.

Baada ya kumaliza hatua hii ya pili ya utangazaji utalii kupitia filamu ya Royal tour, napendekeza hatua ya tatu ambayo itahusisha:

i) Usambaji na uoneshaji wa filamu ya Royal kupitia "electronic posters" katika maeneo ambayo yana mkusanyiko mkubwa wa watu.

ii) Uhamasishaji wa 'Royal tour' kupitia mitandao ya kijamii kwa kuhusisha wasanii na watu maarufu wengine

Baada ya hapa naamini kila mtu atakuwa kafikiwa na lengo kuu la utengenezaji wa filamu ya Royal tour litakuwa limekamilika.
vi) Kama lengo la Royal Tour ni "kuboost" idadi ya watalii, basi wale watalii wanaofika, badala ya kubeba memory stick zenye video za wanyama, ni vyema wao binafsi kuwa mashuhuda wema wa nchi ya Tanzania. Lakini hawawezi kuwa mashuhuda wema wa Tanzania kwa umeme usio wa uhakika, maji yasiyo ya uhakika, barabara mbovu za mijini na kuelekea mbugani.

Boresheni nchi yenu kwanza!
 
Back
Top Bottom